Radi yawajeruhi wanafunzi 17 Wilayani Ilemela jijini Mwanza
![](http://lh4.ggpht.com/-35uMpvEVfIE/VC0Bk5n_ksI/AAAAAAAAdFs/ok9J7MpU2VE/s72-c/1_12.jpg)
Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja.Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati radi hiyo ilipowapiga wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine kidato cha kwanza.
Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo, Humphrey Massawe, alisema tukio hilo lilitokea wakati wanafunzi hao wakiwa darasani huku mvua kubwa
ikiendelea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNaibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea shule ya Sekondari Lumala,Wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oYvx1cwBu4Y/Va35Nf6wa2I/AAAAAAAHqxw/HYhuxBV2kSk/s72-c/FB_IMG_1437460881306.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_hlu42lEO8A/VY7lI-0TNwI/AAAAAAAC7sQ/T0qoKLbJXqM/s72-c/4.jpg)
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_hlu42lEO8A/VY7lI-0TNwI/AAAAAAAC7sQ/T0qoKLbJXqM/s640/4.jpg)
10 years ago
Mtanzania04 Apr
CCM wilayani Ilemela waomba suluhu
Na John Maduhu, Mwanza
BAADHI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemtaka Katibu mpya wa chama hicho, Miraj Mtaturu, kuingilia kati na kukomesha ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela, Nelson Mesha, ili kukinusuru chama hicho.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya wanachama wa CCM walisema wamechoshwa na ubabe na vitisho vinavyofanywa na Mesha, hali inayotishia uhai wa chama, huku wakimtuhumu kiongozi huyo kutokuwa karibu na viongozi wenzake wa...
10 years ago
Habarileo02 Oct
Wanafunzi 17 wapigwa radi
WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Radi yaua wanafunzi watatu
WANAFUNZI watatu wa shule ya msingi wilayani Mpanda, Katavi wamefariki dunia kwa kupigwa na radi katika matukio mawili tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kBppvdpLRFg/VPYFABJ4emI/AAAAAAAAIh8/HeU_lsfVw3Y/s72-c/20150302_145845_resized.jpg)
TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services yazindua tawi lake jipya wilayani Kwimba jijini Mwanza
![](http://2.bp.blogspot.com/-kBppvdpLRFg/VPYFABJ4emI/AAAAAAAAIh8/HeU_lsfVw3Y/s1600/20150302_145845_resized.jpg)
10 years ago
Habarileo15 Apr
Radi yaua mwalimu, wanafunzi wake 6
WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma wamekufa baada ya kupigwana radi kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kuanzia jana asubuhi hadi mchana.