MWANAHABARI GODWIN GONDWE "DOUBLE G" AJITOSA UBUNGE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA
Wananchi wakiwa wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja jipya la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo.Ndugu Kinana kesho atahutubia katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza,mkutano huo utarushwa moja kwa moja na televisheni mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hitimisho ziara yake...
10 years ago
GPLGODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
Godwin Gondwe ‘Double G’ akifuta machozi.
Brighton Masalu
MTANGAZAJI maarufu ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar na Mshereheshaji (MC), Godwin Gondwe ‘Double G’ wikiendi iliyopita alimwaga machozi hadharani wakati akitoa ushuhuda wa maisha aliyopitia wakati wa semina ya ujasiriamali inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuta cha Victoria, kilichopo...
10 years ago
VijimamboKAMANDA JOHN BUYAMBA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ILEMELA.
Aliekuwa Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Misungwi John Buyamba (Kulia) akionyesha fomu ya kuwania kugombea Ubunge jimbo la Ilemela.
Na:George GB PazzoMakada mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Mwanza, wameendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama hicho ili kugombea nafasi za uongozi kwa ngazi za Udiwani na Ubunge.
Zaidi ya Makada sita wa chama hicho tayari wamejitokeza na kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ilemela,...

MichuziMwanahabari Kibiki atangaza kuwania Ubunge jimbo la Iringa mjini
Na Fredy Mgunda,Iringa
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Frank Kibiki, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa Habari leo ofisini kwake, Kibiki amesema ni wakati wa vijana kushika hatamu kwa kuwania nafasi mbali mbali, ndani ya CCM na hatimaye kwenye umma wa watanzania.
Kibiki ambaye ni Katibu mwandamizi wa Umoja wa Vijana, katika wilaya mbali mbali nchini amesema ameamua kuomba kupitishwa nafasi...

VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.
Makene...
Makene...
10 years ago
MichuziWAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.
Makene...
Makene...
10 years ago
MichuziMdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
Na Ahmaid MMOW-Lindi
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...

VijimamboMOHAMMED SULEIMAN OMAR AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MALINDI ZANZIBAR
Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahamani Kasongo, akipitia Kadi ya Mwananchama wa CCM ya Ndg Mohammed Suleiman aliyejitokeza kugombea Ubunge Jimbo la Malinzi Zanzibar. Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar...
10 years ago
MichuziMDAU SHAFI KASSIM MPENDA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATAVI 2015
Mdau Shafi Mpenda ambaye ni mfanyakazi ya uhasibu katika Shirika la Magazeti ya Serikali la Tanzania Standard Newspapers (TSN) Shafii Kassim Mpenda akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi mwaka huu mwezi oktoba, 2015
Mdau Shafi Kassim Mpenda Shafi Kassim Mpenda akionesha fomu yake ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.
Mdau Shafi Kassim Mpenda Shafi Kassim Mpenda akionesha fomu yake ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania