MOHAMMED SULEIMAN OMAR AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MALINDI ZANZIBAR
Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahamani Kasongo, akipitia Kadi ya Mwananchama wa CCM ya Ndg Mohammed Suleiman aliyejitokeza kugombea Ubunge Jimbo la Malinzi Zanzibar.
Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.
Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMDAU SHAFI KASSIM MPENDA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATAVI 2015
10 years ago
VijimamboAMON MPANJU AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE
Akizungumza na Father Kidevu Blog, katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Mpanju amesema huu ni wakati muafa kwake kuwatumiakia wana Kawe.
Mpanju ambaye kitaaluma ni Mwanasheria, amesema...
10 years ago
VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...
10 years ago
Michuzi
BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA


11 years ago
Bongo512 Sep
Muigizaji wa Nollywood Desmond Elliot ajitosa kugombea ubunge 2015 Nigeria, Wanaija wamponda
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
.jpg)
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...
10 years ago
MichuziWAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Priscus Tarimo ajitosa kinyang’anyiro cha ubunge jimbo la Moshi mjini






