Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muigizaji wa Nollywood Desmond Elliot ajitosa kugombea ubunge 2015 Nigeria, Wanaija wamponda

Muigizaji wa maarufu wa Nollywood Desmond Elliot kutoka Nigeria amejitosa kugombea ubunge (Lagos State House Of Assembly) katika uchaguzi wa 2015 kupitia chama cha APC. Haya ni miongoni mwa mambo ambayo Desmond ameahidi kuwafanyia wapiga kura wake endapo atapewa kiti hicho. Hizi ni baadhi ya comments za wasomaji wa Lindaikeji blog kuhusiana na muigizaji huyo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Desmond Elliot: From Nollywood to parliament

>When film maker and actor Desmond Elliot first declared his intention to contest a parliamentary seat not many took him seriously.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU SHAFI KASSIM MPENDA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATAVI 2015

  Mdau Shafi Mpenda ambaye ni mfanyakazi ya uhasibu katika Shirika la Magazeti ya Serikali la Tanzania Standard Newspapers (TSN) Shafii Kassim Mpenda akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake  ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi mwaka huu  mwezi oktoba, 2015
Mdau Shafi Kassim Mpenda  Shafi Kassim  Mpenda akionesha  fomu yake ya  kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake  ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.

 

10 years ago

Vijimambo

MOHAMMED SULEIMAN OMAR AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MALINDI ZANZIBAR

Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahamani Kasongo, akipitia Kadi ya Mwananchama wa CCM ya Ndg Mohammed Suleiman aliyejitokeza kugombea Ubunge Jimbo la Malinzi Zanzibar. Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar...

 

10 years ago

Michuzi

BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA

 Zahara Muhidin Michuzi akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.Binti huyo wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Zahara Michuzi (kushoto) na Mwasham Hashim (kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema kugombea ubunge 2015

Augustine Lyatonga MremaMBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.

 

9 years ago

Bongo5

Muigizaji wa Nollywood aeleza kwanini ndoa yake imevunjika na funzo kwetu sisi

Ini-Edo1

Muigizaji wa Nollywood, Ini Edo ameamua kueleza runinga nchini humo sababu za kuvunjika kwa ndoa yake ya miaka mitano na Phillip Ehiagwina wa Marekani.

Ini-Edo-1

Muigizaji huyo asiyependa mambo yake yaongelewe sana kwenye mitandao na vyombo vya habari, aliweza kuelezea kwa uwazi mambo anayodhani yalisababisha ndoa yake ya miaka mitano kuvunjika.

Ndoa yake ambayo anasema kwa kiasi kikubwa iliathiriwa na umbali kwakuwa mumewe alikuwa Marekani yeye yupo Naijeria hivyo ukiondoa matatizo waliyokuwa nayo...

 

11 years ago

CloudsFM

PROFESA JAY AFUNGUKA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu...

 

10 years ago

Bongo5

Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe

Waigizaji wa Nollywood na mastaa wengine wa Nigeria wametumia mitandao ya kijamii kuelezea kuhuzunishwa kwao na kifo cha ghafla cha muigizaji maarufu wa Nigeria, Muna Obiekwe. Marehemu Muna Obiekwe Staa huyo alifariki Jumapili, January 18, 2015 kutokana na kushindwa kufanya kazi kwa figo zake. Miongoni mwa waliotuma salamu zao za rambi rambi ni pamoja na […]

 

10 years ago

Bongo5

Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere ametangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM. Mwenekiti wa bongomovie Steve Nyerere Akizungumza na Bongo5, Steve Nyerere amesema yupo kamili na amejipanga kufanya hivyo ifikapo mwakani. “Ukiuna chereko cherEko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani