MDAU SHAFI KASSIM MPENDA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATAVI 2015
Mdau Shafi Mpenda ambaye ni mfanyakazi ya uhasibu katika Shirika la Magazeti ya Serikali la Tanzania Standard Newspapers (TSN) Shafii Kassim Mpenda akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi mwaka huu mwezi oktoba, 2015
Mdau Shafi Kassim Mpenda Shafi Kassim Mpenda akionesha fomu yake ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
Na Ahmaid MMOW-Lindi
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...

VijimamboMOHAMMED SULEIMAN OMAR AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MALINDI ZANZIBAR
Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahamani Kasongo, akipitia Kadi ya Mwananchama wa CCM ya Ndg Mohammed Suleiman aliyejitokeza kugombea Ubunge Jimbo la Malinzi Zanzibar. Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar...
10 years ago
Bongo512 Sep
Muigizaji wa Nollywood Desmond Elliot ajitosa kugombea ubunge 2015 Nigeria, Wanaija wamponda
Muigizaji wa maarufu wa Nollywood Desmond Elliot kutoka Nigeria amejitosa kugombea ubunge (Lagos State House Of Assembly) katika uchaguzi wa 2015 kupitia chama cha APC. Haya ni miongoni mwa mambo ambayo Desmond ameahidi kuwafanyia wapiga kura wake endapo atapewa kiti hicho. Hizi ni baadhi ya comments za wasomaji wa Lindaikeji blog kuhusiana na muigizaji huyo […]
10 years ago
Bongo515 Aug
Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere ametangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM. Mwenekiti wa bongomovie Steve Nyerere Akizungumza na Bongo5, Steve Nyerere amesema yupo kamili na amejipanga kufanya hivyo ifikapo mwakani. “Ukiuna chereko cherEko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea […]
10 years ago
GPLDAUDI MRINDOKO KASHAWISHIKA NA KAKUBALI OMBI LA WANANCHI WA JIMBO LA MOSHI MJINI KUGOMBEA UBUNGE 2015
DAUDI BABU MRINDOKO Yafuatayo ndio maelezo yake haya: "Kwa nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu anawezesha yote na kutujalia uhai Waheshimiwa Mabibi na mabwana,vijana na wazee,watoto na wakubwa ,Baba zangu na mama zangu na wanadau wote wanaoishi Moshi na wenyeji wa Moshi walio ndani na nje ya Moshi. Mimi mtoto wenu,mdogo wenu na Kijana wenu DAUDI BABU MRINDOKO Nina heshima kubwa na unyeyekevu kwenu ,Pia nawashukuruni sana kwa...
10 years ago
MichuziDAUDI MRINDOKO ASHAWISHIKA NA KAKUBALI OMBI LA WANANCHI WA JIMBO LA MOSHI MJINI KUGOMBEA UBUNGE 2015
Yafuatayo ndio maelezo yake haya:
"Kwa nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu anawezesha yote na kutujalia uhai...
"Waheshimiwa Mabibi na mabwana,vijana na wazee,watoto na wakubwa, Baba zangu na mama zangu na wanadau wote wanaoishi Moshi na wenyeji wa Moshi walio ndani na nje ya Moshi. Mimi mtoto wenu,mdogo wenu na Kijana wenu. DAUDI BABU MRINDOKO
"Nina heshima kubwa na unyeyekevu kwenu ,Pia nawashukuruni sana kwa kunishawishi niweze kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge wa jimbola Moshi...

VijimamboAMON MPANJU AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE
Mwenyekiti wa wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju ambaye pia alikuwa Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba Mpya amejitokeza hii leo sambamba na wana CCM wengine katika safari ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Kawe Wilaya ya Kinondoni.
Akizungumza na Father Kidevu Blog, katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Mpanju amesema huu ni wakati muafa kwake kuwatumiakia wana Kawe.
Mpanju ambaye kitaaluma ni Mwanasheria, amesema...

VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.
Makene...
Makene...
10 years ago
MichuziBINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA
Zahara Muhidin Michuzi akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.Binti huyo wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Zahara Michuzi (kushoto) na Mwasham Hashim (kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania