Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!

Godwin Gondwe ‘Double G’ akifuta machozi.
Brighton Masalu
MTANGAZAJI maarufu ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar  na Mshereheshaji (MC), Godwin Gondwe ‘Double G’ wikiendi iliyopita alimwaga machozi hadharani wakati akitoa ushuhuda wa maisha aliyopitia wakati wa semina ya ujasiriamali inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuta cha Victoria, kilichopo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI

Stori: Waandishi Wetu/Risasi Mchanganyiko
Hakika wikiendi iliyopita ilikuwa ni shangwe tupu, lakini kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe ilikuwa ya machungu pale alipojikuta akimwaga chozi ukumbini. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe akiwa na Christian Bela. Mpango mzima ulioshuhudiwa na paparazi wetu ulijiri kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni...

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe amwaga machozi Bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbasha amwaga machozi mahakamani

mbashaNa Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI

Brighton Masalu
ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili! Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando. ILIKUAJE?
Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani

Hatimaye bibi raia wa Nigeria aliyekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), jana aliangua kilio baada ya kupandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la kusafirisha dawa za kulevya.

 

10 years ago

GPL

AUNT AMWAGA MACHOZI KULAANIWA KIFO

Mwigizaji  ‘mama kijacho’ Aunt Ezekiel. Imelda Mtema
MWIGIZAJI ‘mama kijacho’ Aunt Ezekiel amejikuta akidondosha machozi ya uchungu baada ya shabiki mmoja kujitokeza kwenye mtandao wa kijamii na kumlaani kifo.
Tukio hilo lilitokea juzikati baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonyesha akiwa na Wema kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshika tumbo lake ndipo mfuasi wa mtandao huo anayetumia jina la...

 

10 years ago

GPL

Tambwe amwaga machozi Simba, atimkia kwao

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli  
MAISHA ya mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe katika kikosi hicho hivi karibuni yameonekana kuwa magumu na kujikuta uso wake ukipoteza furaha kila kukicha huku akibubujikwa na machozi bila ya kutarajia. Hali hiyo inatokana na kushindwa kung’ara katika mechi mbili za kirafiki ambazo Simba imecheza huko mjini Unguja ilikopiga kambi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani