Tambwe amwaga machozi Simba, atimkia kwao
![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPi8ITDN-D6u3EQcSr5f5jiFIy*omumexKqsmfntV3Chx2ZKrUSdqVTQqI45O08V3mY0zpkFVZHN8gfrPrwL-sEr/tambwe.jpg)
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli  MAISHA ya mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe katika kikosi hicho hivi karibuni yameonekana kuwa magumu na kujikuta uso wake ukipoteza furaha kila kukicha huku akibubujikwa na machozi bila ya kutarajia. Hali hiyo inatokana na kushindwa kung’ara katika mechi mbili za kirafiki ambazo Simba imecheza huko mjini Unguja ilikopiga kambi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Kocha Maximo atimkia kwao, aacha maagizo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jznEY2dhcR9JqNjmOuEg3Y3dztivbrWY4W0kQTb2rqylyTkN0**Dc9bGCv4t7jN5jT1yYp0O6-Yg1OHrfdTrmGlk/hihgh.jpg?width=650)
ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Mbasha amwaga machozi mahakamani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPr1o-Ur1pb3QNFEshmGvh7FXKtiAzx5tOtbtK2FK36hFTjd5af*6GyaSA-c9t4NRleGT*xDA1P9ghE8MdcoyfS/Image5copy.jpg?width=650)
GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
11 years ago
Habarileo25 Apr
Mjumbe amwaga machozi Bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YHCUMZSAUFMC08ni5sPphno3Ol9WMuwVhPT07Crl-0RhIgCA0EXSMhrwIGchBf50Seb0VJ2789eDkpoxrZ8Qrm/g.jpg)
ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aRXbx4z4nH0iXT6gtjKm-B7BqMqpNL7MD*ST0jdItoDAJmaC6pEf7QtgWJH3Wkx7T2Bbme0z3*6ljm*g3ggapC1/AUNTY_EZEKIEL661.jpg?width=650)
AUNT AMWAGA MACHOZI KULAANIWA KIFO
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s72-c/kumbaka.jpg)
Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s640/kumbaka.jpg)