ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI
![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jznEY2dhcR9JqNjmOuEg3Y3dztivbrWY4W0kQTb2rqylyTkN0**Dc9bGCv4t7jN5jT1yYp0O6-Yg1OHrfdTrmGlk/hihgh.jpg?width=650)
Brighton Masalu ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili! Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando. ILIKUAJE? Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Mbasha amwaga machozi mahakamani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YHCUMZSAUFMC08ni5sPphno3Ol9WMuwVhPT07Crl-0RhIgCA0EXSMhrwIGchBf50Seb0VJ2789eDkpoxrZ8Qrm/g.jpg)
ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
11 years ago
Habarileo25 Apr
Mjumbe amwaga machozi Bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPr1o-Ur1pb3QNFEshmGvh7FXKtiAzx5tOtbtK2FK36hFTjd5af*6GyaSA-c9t4NRleGT*xDA1P9ghE8MdcoyfS/Image5copy.jpg?width=650)
GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aRXbx4z4nH0iXT6gtjKm-B7BqMqpNL7MD*ST0jdItoDAJmaC6pEf7QtgWJH3Wkx7T2Bbme0z3*6ljm*g3ggapC1/AUNTY_EZEKIEL661.jpg?width=650)
AUNT AMWAGA MACHOZI KULAANIWA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPi8ITDN-D6u3EQcSr5f5jiFIy*omumexKqsmfntV3Chx2ZKrUSdqVTQqI45O08V3mY0zpkFVZHN8gfrPrwL-sEr/tambwe.jpg)
Tambwe amwaga machozi Simba, atimkia kwao
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-D4tJWYe28GS7FDXqNQqiIz42Pif3y7bi9H2sA5iJva1tCCypMXf5kdObQIkp-5eDMZBlKs2*sLkcdSd6UoEWPz/rose.jpg)
ROSE MUHANDO MGONJWA
9 years ago
Habarileo18 Aug
Rose Muhando matatani
MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.