Mjumbe amwaga machozi Bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI
10 years ago
GPLGODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!
10 years ago
GPLZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Mbasha amwaga machozi mahakamani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani
10 years ago
GPLAUNT AMWAGA MACHOZI KULAANIWA KIFO
10 years ago
GPLTambwe amwaga machozi Simba, atimkia kwao
10 years ago
VijimamboEmmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Bungeni wasipelekwe mbumbumbu-Mjumbe