Bungeni wasipelekwe mbumbumbu-Mjumbe
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Deogratias Ntukamazina amewataka wenzake kuunga mkono Rasimu ya Katiba inayotaka kiwango cha chini cha elimu kwa wagombea ubunge kuwa kidato cha nne ili kuepuka kuingiza mambumbumbu bungeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Mjumbe alilia Ipad bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kutoa vioja kwa kuibua hoja ikiwemo ile ya kutaka simu za Ipad zenye uwezo mkubwa wa kufanya shughuli mbalimbali za kimawasiliano. Aliyetoa wazo...
11 years ago
Habarileo25 Apr
Mjumbe amwaga machozi Bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mjumbe alilia mavazi ya Kimasai yaingie bungeni
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Mjumbe Arfi arudisha hoja za Ukawa bungeni
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Logarusic: Wachezaji ‘mbumbumbu’
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Maalim Seif: Sitaki mawaziri mbumbumbu
11 years ago
Mwananchi09 Aug
ELIMU YA MICHEZO: Makocha Tanzania mbumbumbu
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Mbinu za kumaliza mbumbumbu shule za msingi
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
WANAOPINGA RASIMU YA KATIBA: Wajinga na mbumbumbu
HAKUNA shaka kwamba wajumbe walio wengi wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) wanaipinga rasimu iliyowasilishwa mezani na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Sababu kubwa...