Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: Sitaki mawaziri mbumbumbu

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa iwapo wananchi wa Zanzibar watamchagua kuwa Rais, hatahakikisha baraza lake la mawaziri linaundwa na watu wenye sifa na uwezo na hakuna mbumbumbu atakayeteuliwa kushika  wadhifa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Maalim Seif ni Popo’

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.

Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Msihofu

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia watumishi wa umma kuwa kura watakazopiga kwenye Uchaguzi Mkuu ni za siri na hivyo Serikali haitajua wamepigia chama gani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif amtega JK

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif: Sawasawa

IMG_0906[1]Na Waandishi Wetu, Zanzibar

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimezindua  kampeni za Urais Zanzibar  kwa kishindo huku mgombea wake, Maalimu Seif Sharif Hamad, akiahidi ajira kwa Wanzibari wote ndani ya miaka mitano na kubadilisha uchumi wa nchi hiyo kuwa imara kama ule wa Singapore.

Akizungumza na maelfu ya wananchi wa visiwa hivyo waliojitokeza jana kwenye uwanja wa Kibanda Maiti Unguja, Maalim Seif alisema endapo atapatiwa ridhaa ya kuongeza nchi, atapigania pia mamlaka kamili ya Zanzibar ikiwa ni...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA MASHEIKH



  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Viongozi wa Taasisi za Kiislamu katika ukumbi wa Baitul-Yamin, Malindi mjini Zanzibar. Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Kiislamu Zanzibar wakimsikiliza Maalim Seif.(Picha na Salmin Said, OMKR)
Na: Hassan Hamad, OMKR.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kushirikiana na taasisi zote za dini nchini sambamba na...

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM YAMVAA MAALIM SEIF.

UMOJA wa Vijana Chama Cha Mapinduzi umemtaka Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad kuacha kuupotosha umma na kubeza mafanikio yaliyopatikana chini ya serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein. 
Imemtaka awe muungwana na msemakweli kuhusu mafanikio yaliyofikiwa ingawa yeye binafsi na chama chake wamekuwa wakichukia hilo.
Pia imemtaka kutoudanganya umma kwa madai atamudu kuwapa ajira vijana Wanzibari wote katika kipindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani