Maalim Seif: Sawasawa
Na Waandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimezindua kampeni za Urais Zanzibar kwa kishindo huku mgombea wake, Maalimu Seif Sharif Hamad, akiahidi ajira kwa Wanzibari wote ndani ya miaka mitano na kubadilisha uchumi wa nchi hiyo kuwa imara kama ule wa Singapore.
Akizungumza na maelfu ya wananchi wa visiwa hivyo waliojitokeza jana kwenye uwanja wa Kibanda Maiti Unguja, Maalim Seif alisema endapo atapatiwa ridhaa ya kuongeza nchi, atapigania pia mamlaka kamili ya Zanzibar ikiwa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif
10 years ago
Mtanzania09 Sep
‘Maalim Seif ni Popo’
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.
Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Maalim Seif amtega JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Ni Shein na Maalim Seif
9 years ago
Mwananchi05 Nov
JK akutana na Maalim Seif
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Maalim Seif: Msihofu
9 years ago
MichuziMAALIM SEIF AREJESHA FOMU
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jesha Salim Jecha akionesha fomu za kugombea Urais wa Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, huko hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. (Picha na Salmin Said,...
10 years ago
GPLHAMAD, MAALIM SEIF KUMEKUCHA
11 years ago
MichuziMAALIM SEIF ZIARANI PEMBA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea haja ya kuwashajiisha wakulima kulima kwa wingi mazao yanayopendwa zaidi na wananchi, ili kupunguza mfumko wa bei hasa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Akitembelea masoko ya Chake Chake na Wete Kisiwani Pemba kuangalia bei za bidhaa mbali mbali zikiwemo za matunda, Maalim Seif amesema licha na kuwepo bidhaa nyingi lakini bei zake bado ziko juu ikilinganishwa na kipato cha wananchi.
Amesema...