Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF AKUTANA NA MASHEIKH



  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Viongozi wa Taasisi za Kiislamu katika ukumbi wa Baitul-Yamin, Malindi mjini Zanzibar. Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Kiislamu Zanzibar wakimsikiliza Maalim Seif.(Picha na Salmin Said, OMKR)
Na: Hassan Hamad, OMKR.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kushirikiana na taasisi zote za dini nchini sambamba na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AFUTARISHA MASHEIKH NYUMBANI KWAKE

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Sheikh Hassan Hussein (Nyundo), baada ya futari aliyoiandaa kwa ajili ya Masheikh mbali mbali, nyumbani kwake Mbweni Baadhi ya Masheikh wakiongozwa na Mufti Mkuu (wa tatu kushoto) na Kadhi Mkuu (wa nne), wakijiandaa kwa ajili ya sala ya Magharibi kabla ya futari, nyumbani kwa Maalim Seif Mbweni.  Baadhi ya Masheikh na waumini wa dini ya Kiislam, wakijumuika pamoja katika futari iliyoandaliwa na Maalim Seif...

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif aendelea na ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagongwa, afutarisha masheikh Zanzibar

Na Hassan Hamad, OMKR  
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameendelea na ziara yake ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hii ni mfululizo wa ziara zake za kuwatembelea wagonjwa katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, ambapo Alkhamis iliyopita alitembelea Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akiwafariji wagonjwa hao, Mhe. Maalim Seif amewaombea wapone haraka ili waweze kuendelea na...

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA BODI YA WAASISI

Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia. Makamu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiwa cha Zanzibar yameendelea huku mkutano uliowaleta pamoja rais Ali Mohammed Shein na kiongozi wa upinzani Seif Sharrif Hamad ukifanyika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na makamu wa rais wa Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF, Maalim Seif

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA QATAR

   Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, kwa Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. LOWASSA AKUTANA NA MAALIM SEIF KWA MAZUNGUMZO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif akutana na Rais wa Global Peace Foundation

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Rais wa taasisi ya Kimataifa ya Global Peace Foundation , James Flynn, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea jarida la Grobal Peace Foundation kutoka kwa Rais wa taasisi hiyo James Flynn, ofisini kwake Migombani.

Na Khamis Haji OMKR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar inaunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani