MAALIM SEIF AFUTARISHA MASHEIKH NYUMBANI KWAKE
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Sheikh Hassan Hussein (Nyundo), baada ya futari aliyoiandaa kwa ajili ya Masheikh mbali mbali, nyumbani kwake Mbweni
Baadhi ya Masheikh wakiongozwa na Mufti Mkuu (wa tatu kushoto) na Kadhi Mkuu (wa nne), wakijiandaa kwa ajili ya sala ya Magharibi kabla ya futari, nyumbani kwa Maalim Seif Mbweni.
Baadhi ya Masheikh na waumini wa dini ya Kiislam, wakijumuika pamoja katika futari iliyoandaliwa na Maalim Seif...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2J0Bkt1zZUM/U8FkKuysCOI/AAAAAAAF1mQ/1iYqurslIxY/s72-c/unnamed+(19).jpg)
maalim seif aendelea na ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagongwa, afutarisha masheikh Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameendelea na ziara yake ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hii ni mfululizo wa ziara zake za kuwatembelea wagonjwa katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, ambapo Alkhamis iliyopita alitembelea Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akiwafariji wagonjwa hao, Mhe. Maalim Seif amewaombea wapone haraka ili waweze kuendelea na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bxweIM2Aoew/U7z61YewmSI/AAAAAAAFzvI/CPrZxiBcIV8/s72-c/unnamed+(44).jpg)
maalim seif awaandalia futari watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
![](http://1.bp.blogspot.com/-bxweIM2Aoew/U7z61YewmSI/AAAAAAAFzvI/CPrZxiBcIV8/s1600/unnamed+(44).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-uf2wTrtoWrE/U7z61sGwOiI/AAAAAAAFzuk/FYSgKKepLMU/s1600/unnamed+(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i8Okl3jz9RA/U7z61qAhN_I/AAAAAAAFzuo/ZOXHB09TYbY/s1600/unnamed+(46).jpg)
10 years ago
VijimamboASHA AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE GERMANTOWN, MARYLAND
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NLE-VYpioqw/U8QCJ4Hkl5I/AAAAAAAF2Jk/Vr2gHdNhPxk/s72-c/unnamed+(56).jpg)
MAALIM SEIF AFUTARISHA WATENDAJI WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-NLE-VYpioqw/U8QCJ4Hkl5I/AAAAAAAF2Jk/Vr2gHdNhPxk/s1600/unnamed+(56).jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. Picha na Salmin Said, OMKR
![](http://3.bp.blogspot.com/-tBO2jD4bBlg/U8QCKKuhm8I/AAAAAAAF2Jc/MFHOKebhdtY/s1600/unnamed+(57).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5WJNCvcgQQM/U8QCJ7RdXBI/AAAAAAAF2JY/a2YhiO0XJas/s1600/unnamed+(58).jpg)
9 years ago
MichuziMAALIM SEIF AKUTANA NA MASHEIKH
Na: Hassan Hamad, OMKR.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kushirikiana na taasisi zote za dini nchini sambamba na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s72-c/1.jpg)
MAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-M7Ibwx6ZZfY/U0vv12zxvJI/AAAAAAAFamw/jg7EwqwBnxs/s1600/2.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-nJQg3CGmjrU/Ve1agtmoZTI/AAAAAAAB8QE/cWsNn1_CBsc/s72-c/111.jpg)
Maalim Seif azunhgumza na Balozi wa Tanzania Nchi Zimbabwe Afisi Kwake.
![](http://3.bp.blogspot.com/-nJQg3CGmjrU/Ve1agtmoZTI/AAAAAAAB8QE/cWsNn1_CBsc/s640/111.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qIOD2um4cmQ/Ve1ajD2nvlI/AAAAAAAB8QM/7xgfQpUmH-Q/s640/222.jpg)
Na Khamis Haji OMKR.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema wananchi wa Tanzania na Zimbabwe wanayo nafasi...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Sep
Balozi Seif akiri kuwaseka ndani masheikh/UAMSHO
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema ipo tayari kutumia vyombo vyake vya dola kukabiliana na tishio lolote au mipango ya njama zinazokusudia kuleta vurugu wakati huu wa uchaguzi mkuu. Makamu wa Pili wa […]
The post Balozi Seif akiri kuwaseka ndani masheikh/UAMSHO appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif