MAALIM SEIF AFUTARISHA WATENDAJI WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-NLE-VYpioqw/U8QCJ4Hkl5I/AAAAAAAF2Jk/Vr2gHdNhPxk/s72-c/unnamed+(56).jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. Picha na Salmin Said, OMKR Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakijiandaa kufuturu Mbweni Zanzibar.
Watendaji wa Ofisi ya MAkamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakifuturu Mbweni Zanzibar.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AFUTARISHA MASHEIKH NYUMBANI KWAKE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2J0Bkt1zZUM/U8FkKuysCOI/AAAAAAAF1mQ/1iYqurslIxY/s72-c/unnamed+(19).jpg)
maalim seif aendelea na ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagongwa, afutarisha masheikh Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameendelea na ziara yake ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hii ni mfululizo wa ziara zake za kuwatembelea wagonjwa katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, ambapo Alkhamis iliyopita alitembelea Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akiwafariji wagonjwa hao, Mhe. Maalim Seif amewaombea wapone haraka ili waweze kuendelea na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bxweIM2Aoew/U7z61YewmSI/AAAAAAAFzvI/CPrZxiBcIV8/s72-c/unnamed+(44).jpg)
maalim seif awaandalia futari watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
![](http://1.bp.blogspot.com/-bxweIM2Aoew/U7z61YewmSI/AAAAAAAFzvI/CPrZxiBcIV8/s1600/unnamed+(44).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-uf2wTrtoWrE/U7z61sGwOiI/AAAAAAAFzuk/FYSgKKepLMU/s1600/unnamed+(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i8Okl3jz9RA/U7z61qAhN_I/AAAAAAAFzuo/ZOXHB09TYbY/s1600/unnamed+(46).jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Aug
Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mara tu baada ya kura kuhesabiwa watayapata matokeo ya uchaguzi mkuu na kuyatangaza kabla hata tume ya uchaguzi kuyapata. Amesema wameandaa system ya […]
The post Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
VijimamboKatibu wa CUF Maalim Seif Akanusha kuhama kwa Mwenyekiti wake Mhe Pro. Ibrahim Lipumba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekanusha taarifa za kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.
Amesema akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu kwa Prof. Lipumba, na kwamba hadi saa nne za usiku wa jana Jumatatu ya tarehe 03/08/2015, alikuwa na...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Balozi Seif awapa somo watendaji
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Maalim Seif: Sawasawa
Na Waandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimezindua kampeni za Urais Zanzibar kwa kishindo huku mgombea wake, Maalimu Seif Sharif Hamad, akiahidi ajira kwa Wanzibari wote ndani ya miaka mitano na kubadilisha uchumi wa nchi hiyo kuwa imara kama ule wa Singapore.
Akizungumza na maelfu ya wananchi wa visiwa hivyo waliojitokeza jana kwenye uwanja wa Kibanda Maiti Unguja, Maalim Seif alisema endapo atapatiwa ridhaa ya kuongeza nchi, atapigania pia mamlaka kamili ya Zanzibar ikiwa ni...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
JK akutana na Maalim Seif