Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM YAMVAA MAALIM SEIF.

UMOJA wa Vijana Chama Cha Mapinduzi umemtaka Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad kuacha kuupotosha umma na kubeza mafanikio yaliyopatikana chini ya serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein. 
Imemtaka awe muungwana na msemakweli kuhusu mafanikio yaliyofikiwa ingawa yeye binafsi na chama chake wamekuwa wakichukia hilo.
Pia imemtaka kutoudanganya umma kwa madai atamudu kuwapa ajira vijana Wanzibari wote katika kipindi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UVCCM wamkabili Maalim Seif

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), waache kuzungumzia kesi zilizoko mahakani. Umesema kuwa kuzungumzia kesi inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Serikali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM: Maalim Seif amepauka kisiasa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar, umesema Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amepauka kisiasa. UVCCM imemtaka kiongozi huyo aachane na ageukie kazi za uvuvi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu UVCCM amkaanga Maalim Seif

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar umekitaka Chama cha Wananchi (CUF) kuwa jasiri kwa kumtaka Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim  Seif Sharrif Hamad, ajiuzulu. Kauli...

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM wataka Maalim Seif na wenzake wapuuzwe

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) amewataka wananchi kupuuza na kutowasikiliza wanasiasa wapotoshaji wa mambo akiwemo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, badala yake waisome kwa utulivu, umakini na kuzingatia Katiba Inayopendekezwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif amtega JK

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Msihofu

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia watumishi wa umma kuwa kura watakazopiga kwenye Uchaguzi Mkuu ni za siri na hivyo Serikali haitajua wamepigia chama gani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani