Mjumbe alilia mavazi ya Kimasai yaingie bungeni
>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Esther Juma, ametaka kanuni za Bunge hilo, ziridhie vazi rasmi la watu wa jamii ya Kimasai katika Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Mjumbe alilia Ipad bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kutoa vioja kwa kuibua hoja ikiwemo ile ya kutaka simu za Ipad zenye uwezo mkubwa wa kufanya shughuli mbalimbali za kimawasiliano. Aliyetoa wazo...
11 years ago
Habarileo25 Apr
Mjumbe amwaga machozi Bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Bungeni wasipelekwe mbumbumbu-Mjumbe
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Mjumbe Arfi arudisha hoja za Ukawa bungeni
10 years ago
Habarileo25 Jun
Mafunzo ya walimu nusura yaingie dosari
MAFUNZO maalumu ya kuboresha ufundishaji masomo kwa shule za sekondari mkoani Dodoma nusura yaingie dosari mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia baada ya walimu kudai hawajalipwa tangu kuanza kwa mafunzo hayo.
10 years ago
Vijimambo03 Nov
MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQTEqtzxSCLcgQFpUsqp7PvZK09yF4s-qts6GrCaApLgXdbeTKF6*L3jol*Gr5kx958GK-aszjD48fR4CnHyFj9m/raiswetuhyoo.jpg?width=650)
MAGUFULI AFUNIKA NGOMA YA KIMASAI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t*ajD0I43hBC1V9c7KDPDAlS9sJfD0AcOjGcyuI2BZK9CiHFFeGWM4mZu5YAzYPIkbbYRnrgm5MzQbL-U92IiLL/chuchu.jpg?width=650)
CHUCHU AJIFUNZA MILA ZA KIMASAI, AAIBIKA!
10 years ago
Michuzi22 Jun
VIONGOZI WA KIMASAI WARIDHIA KUACHA UKEKETAJI
![Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto) akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa jamii ya kimasai, wazazi, viongozi wa shule za msingi na sekondari Wilayani Ngorongoro, wakuu wa idara ya afya na vitengo vya ustawi wa jamii wilaya ya Ngorongoro.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_0408.jpg)
![Susana Koillah, Mama Shughuli na mtafsiri wa lugha ya Kimasai katika semina hiyo akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) kabla ya kutafsiri mada yake kwa wanasemina.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_0446.jpg)