ROSE MUHANDO MGONJWA
![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-D4tJWYe28GS7FDXqNQqiIz42Pif3y7bi9H2sA5iJva1tCCypMXf5kdObQIkp-5eDMZBlKs2*sLkcdSd6UoEWPz/rose.jpg)
Stori: Gladness Mallya TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo18 Aug
Rose Muhando matatani
MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HjAnC3puPQ0bLZe5X0aAduH2flM7GU2ZYCeWYYI42wLeKwvevOYtkbitj0as1iyA5XtSe9pBfceLfCw06M7--6X6EzL74TcB/Rose20.jpg?width=650)
ROSE MUHANDO AWEWESEKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo-d0OUy67UJkQxk*EAKpbyyQ05TptxP6dPBeEzBSIrLdiSx8Yy6oOYxaPPqPRzv54-Y5ZUwabBZAgvgK5ClpyFO/rose.jpg?width=650)
ROSE MUHANDO MBARONI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AxlacpzagbU*UtSbBM-i-f*i2As-06drBxfdcwFUukJPukO10oKbDmad7mWtyUrA6tQkmHDAFOgwxBzOsJ1MCa5/rose.gif?width=650)
ROSE MUHANDO AMKIMBIA MENEJA
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Sekeleti kumbeba Rose Muhando
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili, Ephraim Sekeleti, atatumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya Rose Muhando utakaofanyika Agosti 3, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar...
11 years ago
AllAfrica.Com18 Apr
Rose Muhando Is in Hiding for Her Life
AllAfrica.com
Tanzanian gospel singer Rose Muhando has gone into hiding to stay away from "people who threatened her life". According to Tanzanian media, Muhando moved from her home town Dodoma and now is hiding in Dar es Salaam. Alex Msama one of her ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun0OnM9APhlFJ*wZo2xQlo2h3-BVoop7N861rRiAhwnzLd2KmuzsT0ZM1SltjFyZ5zCvmB-9i18Mxap78-PyE3nE/rose_muhando2.jpg)
ROSE MUHANDO AOMBA RADHI!
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Rose Muhando aibuka na ‘Facebook’
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7akC0ASO4alw7656hkFzO*TgaHs-ldAkOryY8rve1N72GDWS0qIUZ2mImyIYrR86hdzxyn9gPemy7wiTFY5C01W/k.jpg)
ROSE MUHANDO KUTOA MIMBA