Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose Muhando aibuka na ‘Facebook’

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rose mhando aibuka na nyimbo mpya ya "Facebook"

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini Rose Muhando ameibuka na wimbo mpya uitwao Facebook.  Akizungumzia  wimbo huo, Rose amesema  ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii hasa vijana kwa sababu una ujumbe mzuri ambao utagusa wengi. “Sitaki kuwaambia nimeimba nini, lakini Facebook ni wimbo mzuri na mashabiki wangu naamini wanatambua kwamba mimi si mtu wa masihara ninapotunga kazi zangu,” alitamba mwimbaji huyo. Alieleza kuwa wimbo huo utakuwa katika albamu yake mpya...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO KUZINDUA ALBAMU YAKE YA FACEBOOK AGOSTI 3/2014 JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu ka FACEBOOK ya mwimbaji wa muziki wa injili anayevuma, Rose Muhando utakaofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 3 /2014 jijini Dar es salaam, ambapo amesema baadhi ya mapato yatakwenda kuviwezesha mitaji zaidi ya vituo 10 vya watoto yatima jijini Dar es salaam.   Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

9 years ago

Habarileo

Rose Muhando matatani

MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWEWESEKA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando. MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi,...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMTAMANI GWAJIMA

Stori: Shani Ramadhan na Gabriel Ngosha NYOTA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri. Nyota wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando. “Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AFIKISHWA POLISI

Stori: Mayasa Mariwata na  Makongoro Oging’
MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar baada ya mchungaji mmoja wa Kinigeria anayefanya shughuli zake nchini DR Congo,  Kabagambe Tchanda kumshitaki akidai kumlipa fedha ili akafanye onesho badala yake akaingia mitini. Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando ...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO KUTOA MIMBA

Stori: Waandishi Wetu/Risasi Mchanganyiko
KITENDO cha mwimbaji nyota wa muziki wa Injili, Rose Muhando (pichani) kudaiwa kutoa mimba yenye umri wa miezi saba, endapo kitathibitishwa na mamlaka zinazohusika, kinaweza kusababisha kupewa adhabu ya kifungo cha miaka 7 jela, Risasi Jumatano lina mkanda kamili. Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili, Rose Muhando akiimba wakati akiwa mjamzito. Mwishoni mwa wiki iliyopita, ilidaiwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani