Mwenyekiti CCM amtaka DC amwombe radhi
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya mkoani Mara, Samwel Kiboye, amempa siku saba Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Elias Goloi kumwomba radhi kwa madai ya kusema kuwa anaweza kutumia ngumi na mateke kumwadhibu yeye na mbunge wa jimbo hilo kwa kuwatuhumu wanahimiza wananchi kugomea kulipa ushuru.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
KINANA ONYESHA UKOMAVU KATIKA SIASA, AMUOMBA RADHI MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI

Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana (pichani) amemuomba radhi Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.John Magufuli kwa kauli mbalimbali alizotoa hadi Chama kulazimika kumpa adhabu hivi karibuni.
Kinana alitoa tamko la kumuomba radhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli, alipozungumza na Waandishi wa habari baada ya kukutanha na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mkoa huo Zelothe Stephen na kufanya mazungumzo naye katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha leo.
Katika...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Masaburi amtaka Mbowe aiombe radhi ALAT
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT), Dk Didas Masaburi ametaka Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe aombe radhi wananchi kwa kudhalilisha jumuiya hiyo.
10 years ago
GPLKAKAKE GWAJIMA AMTAKA AMUOMBE RADHI PENGO
11 years ago
Habarileo28 Jul
Wasira amtaka Lisu aombe radhi maaskofu, mashehe
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wasira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Kitumbo amtaka Jamhuri Kihwelo amuombe radhi siku saba
Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Tabora Yusuph Kitumbo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Tabora Yusuph Kitumbo amempa siku saba kocha wa timu ya Mwadui Jamhuri Kihwelo amuomba radhi kwa kile alichodai kuwa ametoa lawama zisizo za kweli dhidi yake kupitia vyombo vya habari.
Akizungumza na waandishi wa habari Kitumbo alisema amesikitishwa na taarifa alizozitoa kocha huyo dhidi yake zinazomhusisha kuwa amekuwa akileta vurugu katika...
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


9 years ago
Dewji Blog01 Jan
Mwenyekiti wa Bodaboda Mkoa wa Mwanza awaombaa radhi watanzania!!
Na”George Binagi-GB Pazzo @BMG
Mwenyekiti wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Mwanza Makoye Kayanda Bunoro anawatakia Waendesha Pikipiki wote nchini Kheri ya Mwaka Mpya 2016 huku akiwasihi kutimiza majukumu yao kwa kufuata sheria na taratibu za Usalama barabarani bila shuruti.
“Tuache Mchezo na Vyombo vya Moto, Tuvae Elmenti, tusibebe mishkaki (zaidi ya abiria mmoja) tusiendeshe kwa mwendo kasi kwani ni hatari, tusitumie pombe tukiwa kazini huku tikiwapenda abiria na kujiepusha na...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Sumaye asifu uadilifu wa January, amtaka atoke CCM
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

