Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitumbo amtaka Jamhuri Kihwelo amuombe radhi siku saba

kitumbo.1

Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Tabora Yusuph Kitumbo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).

Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoa wa Tabora Yusuph Kitumbo amempa siku saba kocha wa timu ya Mwadui  Jamhuri  Kihwelo  amuomba radhi kwa kile alichodai kuwa ametoa lawama zisizo za kweli dhidi yake kupitia vyombo vya habari.

Akizungumza na waandishi wa habari Kitumbo alisema amesikitishwa na taarifa alizozitoa kocha huyo dhidi yake zinazomhusisha kuwa amekuwa akileta vurugu katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAKAKE GWAJIMA AMTAKA AMUOMBE RADHI PENGO

Kada wa Chama Cha Mapinduzi , Methusela Gwajima. Methusela Gwajima (kushoto) akitoa tamko, Pius Yalula (kulia) Afisa habari idara ya Maelezo. Wanahabri wakifuatilia tukio hilo. KAKA wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aitwaye Methusela Gwajima amemtaka mdogo wake kwenda kumuomba radhi Askofu Mkuu wa…

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM amtaka DC amwombe radhi

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya mkoani Mara, Samwel Kiboye, amempa siku saba Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Elias Goloi kumwomba radhi kwa madai ya kusema kuwa anaweza kutumia ngumi na mateke kumwadhibu yeye na mbunge wa jimbo hilo kwa kuwatuhumu wanahimiza wananchi kugomea kulipa ushuru.

 

11 years ago

Habarileo

Masaburi amtaka Mbowe aiombe radhi ALAT

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT), Dk Didas Masaburi ametaka Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe aombe radhi wananchi kwa kudhalilisha jumuiya hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wasira amtaka Lisu aombe radhi maaskofu, mashehe

Tundu LisuWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wasira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC awapa siku saba watendaji

MKUU wa Wilaya (DC) ya Nyang’hwale, mkoani Geita, Ibrahim Marwa, amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kuanzia mkurugenzi wa wilaya na watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha ndani ya siku saba...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi sasa gizani siku saba.

NA RESTUTA JAMES 7th September 2015 Shirika la umeme nchini (Tanesco), limetangaza nchi kuingia ‘gizani’ kwa wiki nzima kuanzia leo kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya gesi inayozalisha umeme kutoka Songosongo na kuanza majaribio ya gesi […]

The post Nchi sasa gizani siku saba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Siku saba za urais ndani ya CCM

Ni wiki ngumu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ndivyo unavyoweza kusema kwani chama hicho kinachotawala kitafanya vikao vyake vya juu vitakavyohitimishwa kwa kumpata mgombea wake wa urais.

 

11 years ago

Michuzi

Membe (Mb.) kufanya ziara ya kikazi ya siku tano katika Jamhuri ya Watu wa China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) atafanya ziara ya kikazi ya siku tano katika Jamhuri ya Watu wa China kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Ziara ya Mhe. Membe inakuja kufuatia mwaliko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi. Mhe. Membe anafanya ziara hiyo nchini China kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kirafiki uliopo kati ya Tanzania na China. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Membe atafuatana na Maafisa...

 

10 years ago

Mtanzania

Diamond, Ney wa Mitego wakesha siku saba

NA SHARIFA MMASI
NYOTA wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond’ na Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, wametumia siku saba kukesha studio kurekodi wimbo wao mpya wa ‘Mapenzi au Pesa’.
Wimbo huo ulioanza kusikika hivi karibuni, Diamond na Ney wameshirikiana kwa mara ya pili baada ya wimbo wa ‘Muziki gani’.
Ney alisema ‘Mapenzi au Pesa’ ni wimbo wa kwanza kuukeshea studio na kupata usingizi kidogo kwa siku saba mfululizo.
“Kwa mara ya kwanza tangu nianze kuimba muziki, wimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani