Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye asifu uadilifu wa January, amtaka atoke CCM

Waziri Mkuu wa zamani wa serikali ya awamu ya tatu, Frederick Sumaye amemsifu mgombea ubunge wa Jimbo la Bumbuli kupitia CCM, January Makamba na kusema kuwa haelewi kwa nini anaendelea kungang’nia CCM  wakati yeye si fisadi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MIAKA 38 YA CCM NA FALSAFA YA RAIS BORA LAZIMA ATOKE CCM

Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mwishoni mwa wiki iliyopita kimeadhimisha miaka 38 tangu kuzaliwa kwake katika kaya hii. Mazuri na mabaya yake sitayajadili leo bali nitaangalia jambo moja nalo ni IMANI.
2015 ni mwaka wa uchaguzi. CCM kama chama tawala kinaingia kwenye kinyan’ganyiro hicho kikiamini falsafa ya ya kiongozi wake wa kwanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM amtaka DC amwombe radhi

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya mkoani Mara, Samwel Kiboye, amempa siku saba Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Elias Goloi kumwomba radhi kwa madai ya kusema kuwa anaweza kutumia ngumi na mateke kumwadhibu yeye na mbunge wa jimbo hilo kwa kuwatuhumu wanahimiza wananchi kugomea kulipa ushuru.

 

10 years ago

Habarileo

Mzee mkoani Dodoma aipa somo la uadilifu CCM

MMOJA wa wazee wa mkoa wa Dodoma Athumani Makole (66) amesema kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuaminiwa na kuendelea kuongoza nchi ni lazima kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wachaguliwe viongozi waadilifu watakaofanya kazi kwa uaminifu ili kurudisha imani yao kwa wananchi.

 

9 years ago

Mtanzania

Sumaye: CCM haishindi

IMG_5192*Asema mizani haijalalia upande mmoja, aponda utafiti wa Makamba

 

HERIETH FAUSTINE NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema endapo haki itatendeka kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitashinda kwa sababu mwaka huu mizani haijalalia upande mmoja kama ilivyozoeleka.

Sumaye aliyasema hayo jana wakati akihojiwa moja kwa moja katika kipindi cha Funguka na Kituo cha Televisheni cha Azam, jijini Dar es Salaam.

Alisema endapo kanuni na...

 

9 years ago

TheCitizen

Nagu : CCM still needs Sumaye

Hanang’ parliamentary seat candidate on Chama Cha Mapinduzi (CCM) ticket Mary Nagu has pleaded with former Prime Minister Frederick Sumaye to consider returning to the ruling party, saying the country’s oldest political outfit valued his contribution and that it still needed him.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamkemea January Makamba

KAULI ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ya kuwataka wazee waachane na mbio za urais 2015 kwa madai kuwa ni zamu ya vijana, imeelezwa kuwa ni...

 

9 years ago

Mwananchi

Sumaye ajibu mapigo ya CCM

Wakati Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye akitangaza kuihama CCM, alidokeza kuwa siku moja chama hicho kitaona umuhimu wake, na jana alianza kuonyesha hilo alipopangua hoja dhidi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa huku akianika uozo wa Serikali.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sumaye aibua mazito CCM

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa uliyofanyika Manyoni, Singida juzi. Na Thobias Mwanakatwe 13th September 2015 Kipindi cha utawala wa CCM […]

The post Sumaye aibua mazito CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani