Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Muhas yaboresha vitendea kazi

JUMUIYA ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), kimeboresha hali ya vitendea kazi katika sehemu ambazo ni hatarishi zaidi ili kulinda watendaji wake dhidi ya maambukizi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi

Bandari ya Tanga inadaiwa kukabiliwa na changamoto ya utendaji hafifu wa Shirika la Reli na kuchangia kwa kiwango kikubwa kuhamishwa kwa shehena nyingi iliyokuwa ikipitia katika bandari hiyo, hasa iliyokuwa ikienda na kutoka Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Zimamoto Mwanza walilia vitendea kazi


NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
JESHI la Zimamoto na Uokoaji jijini hapa linakabiliwa na uhaba wa vifaa vya uokoaji wakati wa mafuriko, suala linalosababisha kupata wakati mgumu kipindi mafuriko.
Akizungumza na gazeti hili, ofisini kwake, jana, Kamanda wa kikosi hicho mkoa humo, Andrew Mbate, alisema wanapata tabu wakati wa uokoaji pindi mafuriko yanapotokea.
Mbate alisema jeshi hilo halina vifaa vya kutumia katika uokozi wakati wa mafuriko suala linalosababisha walazimike kutumia vifaa bandia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zimamoto walia na ukosefu wa vitendea kazi

KIKOSI cha zima moto na uokoaji mkoani Pwani kimesema kinashindwa kukabiliana na majanga ya moto kwa wakati kutokana na ukosefu wa vitendea kazi yakiwemo (magari). Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfuko wa Wakfu watoa vitendea kazi

MFUKO wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho nchini (CIDTF), kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), wamekabidhi vitendea kazi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri saba kwa ajili ya maofisa...

 

9 years ago

Mwananchi

Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira

Tukio la juzi ambapo Tanzania iliadhimisha miaka 54 ya Uhuru kwa wananchi kufanya usafi wa mazingira, bila shaka litakuwa limeacha kumbukumbu ya kudumu katika nyoyo za wananchi wengi. Tukio hilo litabaki kuwa la kihistoria, kwani tumezoea utamaduni wa kuadhimisha sherehe za kitaifa kwa kufanya mambo mengi yasiyo ya lazima, huku zikitumika fedha nyingi ambazo zingeweza kuelekezwa katika shughuli za maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKABIDHIWA VITENDEA KAZI


 Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kuashiria kukabidhi Magari 12 kati ya 20 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage (Kushoto) akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama funguo za gari moja kati ya 12 aliyokabidhi Tume ili alijaribishe...

 

10 years ago

Habarileo

Wasichana wa kazi Uganda kupewa vyeti vya kazi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale KayihuraINSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale Kayihura, ameagiza Jeshi la Polisi kuanza kutoa vyeti kwa wasichana wa nyumbani, wakati Umoja wa Mataifa (UN), ukitaka Serikali ya Uganda kuchukua hatua dhidi ya msichana wa kazi, aliyemtesa mtoto kwa kumpiga, kumtupa chini na kumkanyaga.

 

10 years ago

StarTV

CUF yakabidhi kamati za uchaguzi vitendea kazi, usafiri .

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

21/02/2015

 

 

MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2015: 

 

 

Hatua ya Chama cha Wananchi CUF kukabidhi vitendea kazi  na usafiri  katika kamati za uchaguzi za wilaya, kanda na majimbo ina lengo la kurahisisha uratibu na usafiri katika utekelezaji wa majukumu yao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015.

 

Wanachama wa CUF wamejitokeza katika viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar kushuhudia makabidhiano ya vifaa hivyo kwa kamati mbalimbali za wilaya na majimbo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani