Zimamoto Mwanza walilia vitendea kazi
NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
JESHI la Zimamoto na Uokoaji jijini hapa linakabiliwa na uhaba wa vifaa vya uokoaji wakati wa mafuriko, suala linalosababisha kupata wakati mgumu kipindi mafuriko.
Akizungumza na gazeti hili, ofisini kwake, jana, Kamanda wa kikosi hicho mkoa humo, Andrew Mbate, alisema wanapata tabu wakati wa uokoaji pindi mafuriko yanapotokea.
Mbate alisema jeshi hilo halina vifaa vya kutumia katika uokozi wakati wa mafuriko suala linalosababisha walazimike kutumia vifaa bandia...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Zimamoto walia na ukosefu wa vitendea kazi
KIKOSI cha zima moto na uokoaji mkoani Pwani kimesema kinashindwa kukabiliana na majanga ya moto kwa wakati kutokana na ukosefu wa vitendea kazi yakiwemo (magari). Akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Muhas yaboresha vitendea kazi
JUMUIYA ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), kimeboresha hali ya vitendea kazi katika sehemu ambazo ni hatarishi zaidi ili kulinda watendaji wake dhidi ya maambukizi ya...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Mfuko wa Wakfu watoa vitendea kazi
MFUKO wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho nchini (CIDTF), kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), wamekabidhi vitendea kazi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri saba kwa ajili ya maofisa...
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi
10 years ago
Habarileo17 Apr
CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dFxSmiSCA54/Xon-FF-z6CI/AAAAAAALmGE/WrHJvznFJvUhxq4NnkbVH4iV1SWJWaIOwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200404_102342.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKABIDHIWA VITENDEA KAZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-dFxSmiSCA54/Xon-FF-z6CI/AAAAAAALmGE/WrHJvznFJvUhxq4NnkbVH4iV1SWJWaIOwCLcBGAsYHQ/s640/20200404_102342.jpg)
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kuashiria kukabidhi Magari 12 kati ya 20 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-BLbaj65QQDY/Xon-FTWeHSI/AAAAAAALmGM/Xcq1PKuWpJgolZdQLrbvNhYtVcXeN8IVQCLcBGAsYHQ/s640/20200404_102350.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage (Kushoto) akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama funguo za gari moja kati ya 12 aliyokabidhi Tume ili alijaribishe...
10 years ago
StarTV23 Feb
CUF yakabidhi kamati za uchaguzi vitendea kazi, usafiri .
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
21/02/2015
MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2015:
Hatua ya Chama cha Wananchi CUF kukabidhi vitendea kazi na usafiri katika kamati za uchaguzi za wilaya, kanda na majimbo ina lengo la kurahisisha uratibu na usafiri katika utekelezaji wa majukumu yao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015.
Wanachama wa CUF wamejitokeza katika viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar kushuhudia makabidhiano ya vifaa hivyo kwa kamati mbalimbali za wilaya na majimbo ya...
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...