Wabunge wataka mwandishi aombe radhi
WABUNGE nchini wamesema habari ya Gazeti la Uingereza la Daily Mail on Sunday kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inafumbia macho ujangili ni upotoshaji na serikali inapaswa kumtaka mwandishi huyo aombe radhi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Makwilo aombe radhi — CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka aliyekuwa Kaimu Katibu wa chama hicho, Jimbo la Ubungo, Ali Makwilo, kuwaomba radhi wananchi baada ya kuwapotosha kwamba chama hicho hakijafanya chochote katika...
11 years ago
Habarileo28 Jul
Wasira amtaka Lisu aombe radhi maaskofu, mashehe
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wasira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
CCM yamwomba radhi mwandishi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kimeomba radhi kwa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Mara (MRPC) kutokana na kitendo kinachodaiwa kufanywa na wafuasi wa chama hicho, kwa kumpiga mwandishi...
11 years ago
Mwananchi13 Feb
CCM waomba radhi kumshambulia mwandishi
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Ndugai awaomba radhi wabunge
NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wabunge kwa madai kuwa pipi walizopewa katika ukumbi wa Bunge zilikuwa siyo safi. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akitoa matangazo ndani ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Walemavu wataka asilimia 30 ya wabunge
WATU wenye ulemavu jijini Mwanza, wamependekeza katiba mpya ijayo iamuru rais wa nchi asiteue wabunge watano kutoka kundi hilo maalumu, badala yake idadi hiyo ipatikane kwa asilimia 30 kati ya...
11 years ago
Habarileo11 Jun
Wabunge wataka walindwe na polisi
MBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) ameomba Serikali iwape ulinzi wa polisi wabunge, kama inavyofanya kwa viongozi wengine, wakiwemo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
11 years ago
Habarileo12 Jan
Wabunge wataka Operesheni Mifugo irudie
WABUNGE wa majimbo ya Morogoro, wameiomba Serikali ya Mkoa kurudia Operesheni ya kuondoa Mifugo katika maeneo mbalimbali na Hifadhi ya Bonde la Mto Kilombero baada ya kurejea kwa mifugo hali inayosababisha uharibifu wa mazingira.