Makwilo aombe radhi — CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka aliyekuwa Kaimu Katibu wa chama hicho, Jimbo la Ubungo, Ali Makwilo, kuwaomba radhi wananchi baada ya kuwapotosha kwamba chama hicho hakijafanya chochote katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Feb
Wabunge wataka mwandishi aombe radhi
WABUNGE nchini wamesema habari ya Gazeti la Uingereza la Daily Mail on Sunday kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inafumbia macho ujangili ni upotoshaji na serikali inapaswa kumtaka mwandishi huyo aombe radhi.
11 years ago
Habarileo28 Jul
Wasira amtaka Lisu aombe radhi maaskofu, mashehe
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wasira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.
9 years ago
Dewji Blog06 Sep
Aliyekuwa kada wa Chadema Ikungi, Singida, Hamisi Mazonge, arejea CCM na kukiomba radhi
Aliyekuwa katibu mwenezi CHADEMA kata ya Ikungi mkoani Singida, Hamisi Yahaya Mazonge, akitangaza uamuzi wake wa kuhama CHADEMA na kurejea CCM, kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi nafasi ya ubunge na udiwani jimbo la Singida mashariki.Mazonge amedai kwamba amehama CHADEMA baada ya kubaini chama hicho hakina sera yoyote ya kuwaletea wananchi maendeleo.(Picha naNathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Ikungi
ALIYEKUWA Katibu mwenezi wa CHADEMA Kata ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoani...
9 years ago
Mtanzania02 Jan
JB awataka radhi mashabiki
MKALI wa filamu za kibongo, JB amewaomba radhi mashabiki wake kwa mkosa mbalimbali ya kiufundi ambayo
yalitokea kwenye baadhi ya kazi zake mwaka uliopita na amewataka waendelee kumuunga mkono mwaka huu.
‘Niwashukuru mashabiki wangu kwa kuendelea kuniunga mkono hasa kwenye filamu yangu ya Chungu cha Tatu ambayo nimeiachia wiki chache zilizopita nawaahidi kazi nzuri zenye ubora zaidi mwaka huu,’ aliandika JB kwenye ukurasa wake wa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Usikubali kuomba radhi!
RAIS wangu sikubaliani na wote wanaokutaka uombe radhi kwa agizo lako uliloagiza! Uombe radhi kwa kosa lipi? Kusema "Acheni unyonge, uvumilivu una ukomo wake," si kauli ya kuomba radhi. Uombe...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Misri yaomba radhi
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwjPajbyPYM/VBYGNHuHZnI/AAAAAAADDa8/w_3TshBHAoo/s1600/WP_20140914_21_58_12_Pro__highres.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HG5Aa9bQe-c/VBYGNwW5hgI/AAAAAAADDbI/0LaVyaK69RA/s1600/WP_20140914_22_03_19_Pro.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zkazILlqtYY/VBYGORb9FrI/AAAAAAADDbQ/kDW2ga7xEMw/s1600/WP_20140914_22_03_52_Pro__highres.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
TBC iwaombe radhi Watanzania
JANA Kituo cha Televisheni cha Taifa (TBC), kilifanya kile ambacho kimeacha maswali kwa Watanzania wengi waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge Maalumu la Katiba kupitia kituo hicho....
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mkuu wa QPR aomba radhi