Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugai awaomba radhi wabunge

NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wabunge kwa madai kuwa pipi walizopewa katika ukumbi wa Bunge zilikuwa siyo safi. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akitoa matangazo ndani ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Maximo awaomba radhi Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga,Mbrazil Marcio MaximoKocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo ameawaomba radhi wanachama na mashabiki wa Yanga baada ya timu yake kuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Kikianza na wachezaji wanne wa kimataifa, Wanyaruanda Haruna Nyinzoma na Mbuyu Twite, Mganda Hamis Kizza na Mbrazil Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Kikosi cha Yanga kilijikuta kikikubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya timu isiyo na mchezaji hata mmoja wa kimataifa, Mtibwa...

 

9 years ago

GPL

MAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Brighton masalu
KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’ amewaomba radhi mashabiki zake kwa kitendo hicho na kuweka wazi kuwa yuko ‘bize’ na mambo mengine nje ya sanaa lakini muda si mrefu atajikita tena kwenye kazi hiyo na kwamba mashabiki hao watarajie makubwa zaidi. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu katikati ya wiki hii,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana awaomba radhi wananchi wa Karema

-Awaomba radhi wananchi wa Karema kwa kuchelewa kukamilika kwa mradi wa bandari ambao umesimama kabisa baada ya mkandarasi aliyepewa mradi huo kushindwa kuumaliza .

-Asikitishwa na watumishi wengi wa serikali kuendeleza tabia ya umangi meza kwani miradi mingine inasimama kwa kipindi kirefu kwa sababu kuna kiongozi wa serikali amechelewa kujibu barua itakayofanikisha mradi kuendelea na kumalizika kwa wakati.

-Asisitiza Viongozi na wana CCM kuwa wakali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri awaomba radhi wanafunzi Kenya

Waziri wa usalama nchini Kenya amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa uwanja wao wa kuchezea.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gavana awaomba radhi wanawake Kenya

Mwanasiasa mashuhuri nchini Kenya amewaomba radhi wanawake kwa matamshi yake kuwa wanawake ambao hawajaolewa hawapaswi kushikilia nyadhifa za kisiasa.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI AWAOMBA RADHI WANAFUNZI KENYA

Waziri wa Usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery. Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea. Wanafunzi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi kwa kuandamana kupinga unyakuzi wa uwanja… ...

 

9 years ago

GPL

DR DRE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAPA VICHAPO

Mmiliki wa Lebo ya Aftermath Entertainment, Andre Romelle ‘Dr Dre’. New York, Marekani
MMILIKI wa Lebo ya Aftermath Entertainment, Andre Romelle ‘Dr Dre’, 50, ameibuka na kuwaomba radhi wanawake wote aliowahi kuwafanyia mambo ya kikatili, akiwemo Michel’le ambaye alizaa naye mtoto mmoja miaka ya 1990. Dr Dre ambaye alitamba kinomanoma na Ngoma ya I Need a Doctor na Still Dre, ameomba radhi...

 

10 years ago

Mtanzania

Justin Bieber awaomba radhi mashabiki Uingereza

Justin-BieberLAS VEGAS, Marekani

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Justin Bieber, amewaomba radhi mashabiki wake nchini Uingereza baada ya kutangaza kusitisha onyesho alilotakiwa kulifanya nchini humo.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 21, alitarajia kufanya onyesho hilo Agosti 28 mwaka huu nchini humo, lakini amesitisha bila kutaja sababu za msingi.

“Naomba radhi kwa mashabiki wangu nchini Uingereza kwa kusitisha kufanya shoo Agosti 28, lakini lazima nitaifanya muda mfupi ujao.

“Nimeona nitumie...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtulia wa CUF awaomba radhi wana kinondoni

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mtulia Said ameomba radhi kwa wananchi wa jimbo hilo baada ya kuchelewa kuanza kampeni akidai kwamba ni kutokana na pingamizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani