DR DRE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAPA VICHAPO
![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi64x3SpSVlVuo37hyc6YXnm3rMWilg6ajsBwVyP2FAvZc7lu-k0PsZgx8-2cSrTO7APF2PL--ycfCbbSMcQCfuOh/drdremaybehisrapnamebuthisrealnameisandreromelleyoung.jpg?width=650)
Mmiliki wa Lebo ya Aftermath Entertainment, Andre Romelle ‘Dr Dre’. New York, Marekani MMILIKI wa Lebo ya Aftermath Entertainment, Andre Romelle ‘Dr Dre’, 50, ameibuka na kuwaomba radhi wanawake wote aliowahi kuwafanyia mambo ya kikatili, akiwemo Michel’le ambaye alizaa naye mtoto mmoja miaka ya 1990. Dr Dre ambaye alitamba kinomanoma na Ngoma ya I Need a Doctor na Still Dre, ameomba radhi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Aug
Dr. Dre aomba radhi kwa ukatili aliowafanyia wanawake
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Ndugai awaomba radhi wabunge
NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wabunge kwa madai kuwa pipi walizopewa katika ukumbi wa Bunge zilikuwa siyo safi. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akitoa matangazo ndani ya...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
Maximo awaomba radhi Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Maximo--September22-2014(1).jpg)
Kikianza na wachezaji wanne wa kimataifa, Wanyaruanda Haruna Nyinzoma na Mbuyu Twite, Mganda Hamis Kizza na Mbrazil Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Kikosi cha Yanga kilijikuta kikikubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya timu isiyo na mchezaji hata mmoja wa kimataifa, Mtibwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Mainda.jpg?width=650)
MAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Kinana awaomba radhi wananchi wa Karema
-Awaomba radhi wananchi wa Karema kwa kuchelewa kukamilika kwa mradi wa bandari ambao umesimama kabisa baada ya mkandarasi aliyepewa mradi huo kushindwa kuumaliza .
-Asikitishwa na watumishi wengi wa serikali kuendeleza tabia ya umangi meza kwani miradi mingine inasimama kwa kipindi kirefu kwa sababu kuna kiongozi wa serikali amechelewa kujibu barua itakayofanikisha mradi kuendelea na kumalizika kwa wakati.
-Asisitiza Viongozi na wana CCM kuwa wakali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Waziri awaomba radhi wanafunzi Kenya
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Gavana awaomba radhi wanawake Kenya
10 years ago
GPL![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/24/141224135945_nkaiseri_512x288_bbc.jpg?width=650)
WAZIRI AWAOMBA RADHI WANAFUNZI KENYA
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mtulia wa CUF awaomba radhi wana kinondoni