Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Justin Bieber awaomba radhi mashabiki Uingereza

Justin-BieberLAS VEGAS, Marekani

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Justin Bieber, amewaomba radhi mashabiki wake nchini Uingereza baada ya kutangaza kusitisha onyesho alilotakiwa kulifanya nchini humo.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 21, alitarajia kufanya onyesho hilo Agosti 28 mwaka huu nchini humo, lakini amesitisha bila kutaja sababu za msingi.

“Naomba radhi kwa mashabiki wangu nchini Uingereza kwa kusitisha kufanya shoo Agosti 28, lakini lazima nitaifanya muda mfupi ujao.

“Nimeona nitumie...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Justin Bieber aomba radhi kwa ubaguzi

Justin Bieber, ameoamba radhi kwa kutumia neno la kibaguzi wakati akiwakejeli wamarekani weusi kuhusu swala la ubaguzi wa rangi.

 

9 years ago

GPL

MAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Brighton masalu
KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’ amewaomba radhi mashabiki zake kwa kitendo hicho na kuweka wazi kuwa yuko ‘bize’ na mambo mengine nje ya sanaa lakini muda si mrefu atajikita tena kwenye kazi hiyo na kwamba mashabiki hao watarajie makubwa zaidi. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu katikati ya wiki hii,...

 

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber asusia kutumbuiza Norway, akatisha onesho na kushuka jukwaani baada ya kuimba wimbo mmoja, aomba radhi

Bieber norwayJustin Bieber ameibuka na kituko kingine Alhamisi ya wiki hii (Oct.30), baada ya kuwasusia mashabiki wa Olso, Norway alikoenda kutumbuiza. Bieber alipanda jukwaani na kutumbuiza wimbo wa kwanza, kabla ya kususa na kushuka jukwaani na kuondoka. Bieber alitakiwa kutumbuiza nyimbo 6 kwenye show hiyo iliyokuwa pia inarekodiwa kwaajili ya talk show ya Tv ‘Senkveld’. Kilichomkera […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndugai awaomba radhi wabunge

NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wabunge kwa madai kuwa pipi walizopewa katika ukumbi wa Bunge zilikuwa siyo safi. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akitoa matangazo ndani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Maximo awaomba radhi Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga,Mbrazil Marcio MaximoKocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo ameawaomba radhi wanachama na mashabiki wa Yanga baada ya timu yake kuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Kikianza na wachezaji wanne wa kimataifa, Wanyaruanda Haruna Nyinzoma na Mbuyu Twite, Mganda Hamis Kizza na Mbrazil Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Kikosi cha Yanga kilijikuta kikikubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya timu isiyo na mchezaji hata mmoja wa kimataifa, Mtibwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri awaomba radhi wanafunzi Kenya

Waziri wa usalama nchini Kenya amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa uwanja wao wa kuchezea.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gavana awaomba radhi wanawake Kenya

Mwanasiasa mashuhuri nchini Kenya amewaomba radhi wanawake kwa matamshi yake kuwa wanawake ambao hawajaolewa hawapaswi kushikilia nyadhifa za kisiasa.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI AWAOMBA RADHI WANAFUNZI KENYA

Waziri wa Usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery. Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea. Wanafunzi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi kwa kuandamana kupinga unyakuzi wa uwanja… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana awaomba radhi wananchi wa Karema

-Awaomba radhi wananchi wa Karema kwa kuchelewa kukamilika kwa mradi wa bandari ambao umesimama kabisa baada ya mkandarasi aliyepewa mradi huo kushindwa kuumaliza .

-Asikitishwa na watumishi wengi wa serikali kuendeleza tabia ya umangi meza kwani miradi mingine inasimama kwa kipindi kirefu kwa sababu kuna kiongozi wa serikali amechelewa kujibu barua itakayofanikisha mradi kuendelea na kumalizika kwa wakati.

-Asisitiza Viongozi na wana CCM kuwa wakali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani