Justin Bieber asusia kutumbuiza Norway, akatisha onesho na kushuka jukwaani baada ya kuimba wimbo mmoja, aomba radhi
Justin Bieber ameibuka na kituko kingine Alhamisi ya wiki hii (Oct.30), baada ya kuwasusia mashabiki wa Olso, Norway alikoenda kutumbuiza. Bieber alipanda jukwaani na kutumbuiza wimbo wa kwanza, kabla ya kususa na kushuka jukwaani na kuondoka. Bieber alitakiwa kutumbuiza nyimbo 6 kwenye show hiyo iliyokuwa pia inarekodiwa kwaajili ya talk show ya Tv ‘Senkveld’. Kilichomkera […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Justin Bieber aomba radhi kwa ubaguzi
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j52o*TELl6H4NjrpMV5ziXgchRA6tu6Rp-UW-rivUkiOILcimEfsos7H8vJ3BW3*2qnjO7L73VQEuJvIjZcCpgFJdnpJyec-/Justin_Bieber.jpg?width=650)
JUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Justin Bieber awaomba radhi mashabiki Uingereza
LAS VEGAS, Marekani
NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Justin Bieber, amewaomba radhi mashabiki wake nchini Uingereza baada ya kutangaza kusitisha onyesho alilotakiwa kulifanya nchini humo.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 21, alitarajia kufanya onyesho hilo Agosti 28 mwaka huu nchini humo, lakini amesitisha bila kutaja sababu za msingi.
“Naomba radhi kwa mashabiki wangu nchini Uingereza kwa kusitisha kufanya shoo Agosti 28, lakini lazima nitaifanya muda mfupi ujao.
“Nimeona nitumie...
10 years ago
GPL22 May
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Mhuburi aomba radhi baada ya kuzini
9 years ago
Bongo516 Oct
T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram
Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’. Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita […]
The post Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram appeared first on...
9 years ago
Bongo531 Aug
Video: Justin Bieber — What Do You Mean
9 years ago
Bongo529 Aug
New Music: Justin Bieber — What Do You Mean?