Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!

T.I. amejikuta kwenye kitimoto baada ya kutania kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani. Baada ya maji kumfika shingoni, rapper huyo ameamua kuomba radhi. Wakati wa interview na DJ Whoo Kid wiki iliyopita, Tip alisema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke. “Not to be sexist, but I can’t vote for the leader of […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mhuburi aomba radhi baada ya kuzini

Mhubiri mmoja mkristo nchini Kenya ameomba msamaha kanisani baada ya kupatikana akishiriki ngono na mke wa mwanamume mwingine.

 

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber asusia kutumbuiza Norway, akatisha onesho na kushuka jukwaani baada ya kuimba wimbo mmoja, aomba radhi

Bieber norwayJustin Bieber ameibuka na kituko kingine Alhamisi ya wiki hii (Oct.30), baada ya kuwasusia mashabiki wa Olso, Norway alikoenda kutumbuiza. Bieber alipanda jukwaani na kutumbuiza wimbo wa kwanza, kabla ya kususa na kushuka jukwaani na kuondoka. Bieber alitakiwa kutumbuiza nyimbo 6 kwenye show hiyo iliyokuwa pia inarekodiwa kwaajili ya talk show ya Tv ‘Senkveld’. Kilichomkera […]

 

10 years ago

StarTV

Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya Marekani.


Benki Kuu ya Marekani

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya karne moja, noti mpya ya dola kumi nchini Marekani itakuwa na picha na mwanamke.

Wizara ya Fedha ya Marekani imewataka wananchi wa Marekani kutoa mawazo yao ni picha ya mwanamke gani ichapishwe kwenye noti hiyo.

Wizara hiyo imesema inatafuta kile kinachoelezwa kuwa demokrasia shirikishi.

Kwa sasa noti za Benki Kuu ya Marekani zilizo katika mzunguko wa fedha zinawaonyesha viongozi wa zamani wa kisiasa—-wote wakiwa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE MWEUSI ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU NCHINI MAREKANI

Loretta Lynch ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu nchini Marekani. Ikulu ya white house nchini Marekani inasema kuwa rais Brack Obama amemteua mwendesha mashtaka wa mji wa New York Loretta Lynch kuwa mkuu wa sheria nchini humo.Msemaji wa ikulu ya white house alisema kuwa mkuu huyo mpya wa sheria atateuliwa rasmi leo Jumamosi. Ikiwa uteuzi wake utaidhinishwa na bunge la seneti Loretta Lynch atakuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamke ajioa mwenyewe baada ya kuchoka kuwa single kwa miaka 6!

Uvumilivu wa kusubiri mwanaume wa kuja kumpigia goti na kumuuliza ‘will you marry me?’, umemshinda mwanamke mmoja wa Uingereza, aliyeamua kuchukua uamuzi wa kujichumbia na kujioa mwenyewe! Grace Gelder ambaye ni ‘mme na mke’ alijichumbia November, 2013 na baadae kujioa March, 2014 na kuamua kufanya sherehe ya harusi yake iliyohudhuriwa na wageni 50. Na ule […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Mmiliki wa clippers aomba radhi

Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa QPR aomba radhi

Mwenyekiti wa QPR ameomba msamaha kwa misuko suko inayoshuhudiwa katika klabu hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigel Pearson aomba radhi

Meneja wa Leicester City Nigel Pearson ameomba radhi kwa mwandishi wa habari aliyemtukana

 

10 years ago

BBCSwahili

Tsarnaev aomba radhi waathirika .

Dzhokhar Tsarnaev aliyefanya shambulio la bomu katika mbio za marathon mjini Boston ameomba radhi kwa waathirika wa tukio hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani