Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya Marekani.
Benki Kuu ya Marekani
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya karne moja, noti mpya ya dola kumi nchini Marekani itakuwa na picha na mwanamke.
Wizara ya Fedha ya Marekani imewataka wananchi wa Marekani kutoa mawazo yao ni picha ya mwanamke gani ichapishwe kwenye noti hiyo.
Wizara hiyo imesema inatafuta kile kinachoelezwa kuwa demokrasia shirikishi.
Kwa sasa noti za Benki Kuu ya Marekani zilizo katika mzunguko wa fedha zinawaonyesha viongozi wa zamani wa kisiasa—-wote wakiwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya
Marekani imepanga kuchapa noti mpya ya dola kumi yenye picha ya mwanamke ambaye atapendekezwa na Wamarekani
10 years ago
GPLMWANAMKE MWEUSI ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU NCHINI MAREKANI
Loretta Lynch ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu nchini Marekani. Ikulu ya white house nchini Marekani inasema kuwa rais Brack Obama amemteua mwendesha mashtaka wa mji wa New York Loretta Lynch kuwa mkuu wa sheria nchini humo.Msemaji wa ikulu ya white house alisema kuwa mkuu huyo mpya wa sheria atateuliwa rasmi leo Jumamosi. Ikiwa uteuzi wake utaidhinishwa na bunge la seneti Loretta Lynch atakuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya...
9 years ago
Bongo516 Oct
T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!
T.I. amejikuta kwenye kitimoto baada ya kutania kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani. Baada ya maji kumfika shingoni, rapper huyo ameamua kuomba radhi. Wakati wa interview na DJ Whoo Kid wiki iliyopita, Tip alisema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke. “Not to be sexist, but I can’t vote for the leader of […]
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Mwanamke mwenye 'sura mbaya' atoa filamu
Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.
10 years ago
MichuziIsomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro
Na Magreth Kinabo
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
5 years ago
Michuzi5 years ago
Michuzi10 years ago
Mwananchi16 Mar
Kuwa na Sura Mbili
Pengine unaweza kuwa mpole, mcheshi, mkarimu na anayependa watu wote na pia unaweza kuwa katili asiye na mzaha na asiyeona tabu kutoa roho ya mtu pale apendapo.
Salum Zakwa Mnube, pande la mtu, kizito serikalini na tajiri anayetumia kivuli cha uadilifu serikalini kufanya mambo yake maovu ikiwamo biashara haramu ya dawa za kulevya. ‘Sura mbili’ kama anavyojiita mwenyewe hadithi itakuonyesha namna Salum Zakwa Mnube alivyo na sura hizo mbili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania