Kuwa na Sura Mbili
Pengine unaweza kuwa mpole, mcheshi, mkarimu na anayependa watu wote na pia unaweza kuwa katili asiye na mzaha na asiyeona tabu kutoa roho ya mtu pale apendapo. Salum Zakwa Mnube, pande la mtu, kizito serikalini na tajiri anayetumia kivuli cha uadilifu serikalini kufanya mambo yake maovu ikiwamo biashara haramu ya dawa za kulevya. ‘Sura mbili’ kama anavyojiita mwenyewe hadithi itakuonyesha namna Salum Zakwa Mnube alivyo na sura hizo mbili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Apr
SURA MBILI (15)
10 years ago
Mwananchi24 Apr
Sura mbili -3
10 years ago
Mwananchi20 Mar
Sura mbili (9)
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Sura mbili 10
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Sura Mbili
10 years ago
Mwananchi17 Mar
HADITHI: Sura Mbili
10 years ago
Mwananchi27 Apr
HADITHI: Sura mbili 22
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Sura mbili za Askofu Gwajima
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
SURA MBILI ZA WILLIAM LUKUVI: Unafiki na woga wa kisiasa
WILLIAM Lukuvi ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uratibu na Bunge), ametokea kuwa mtu mwenye sura mbili kisiasa! Sura ya kwanza ni unafiki wa kisiasa na sura...