Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sura mbili za Askofu Gwajima

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

10 years ago

Mwananchi

Sura mbili -3

Katika hadithi iliyopita tulisoma jinsi Salum Zakwa alivyomuua rafiki yake wa ndani ambaye walikuwa wakicheza pamoja mchezo wa kamari katika Hoteli ya Africo. Alishirikiana na vijana wake kina Liston na Vasco. Sasa endelea. Vasco Nundu alianza kazi rasmi kumtumikia  Salum Zakwa. Yeye na Liston Kihingwe walikuwa wanampeleka bosi wao  katika sehemu mbalimbali za jiji kukutana na maajenti wake ama kuwakabidhi bidhaa au kupokea fedha ama vyote viwili, kukabidhi au kupokea. Wakati huo pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Sura mbili (9)

Pengine anaweza kuwa mpole, mcheshi, mkarimu na anayependa watu wote, pia anaweza akawa katili asiye na mzaha na asiyeona tabu kutoa roho ya mtu pale apendapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sura mbili 10

Abdul Zengekala aliuawa na kifo chake kilitokana na wivu wa kibiashara. Kifo hiki kilipangwa kwa siri kubwa. Baada ya kachero Inspecta Raymond kumaliza kuongea na yule mlinzi, akamuaga na kuondoka zake huku akimwacha  mlinzi huyo amechanganyikiwa  kwa kutoamini kama Abdul Zengekala alikuwa ameuawa na kwa sababu gani. Pia kwa upande wa Raymond alikuwa amechanganyikiwa kwani hakuweza kujua muuaji ni nani, lakini akawatilia shaka wafanyabiashara wale wa dawa za kulevya waliokuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sura Mbili

Vasco Nunda alianza kazi rasmi kumtumikia Salim Zakwa. Yeye na Liston Kihongwe wakawa wanampeleka bosi wao katika sehemu mbalimbali za jiji kukutana na maajenti wake ama kuwakabidhi bidhaa au kupokea fedha. Na wakati huo pia  Kamba alikuwa akiwaonya maajenti waliokuwa wakichelewesha malipo..

 

10 years ago

Mwananchi

SURA MBILI (15)

Vasco Nunda alianza kazi rasmi kumtumikia Salim Zakwa. Yeye na Liston Kihongwe wakawa wanampeleka bosi wao katika sehemu mbalimbali za jiji kukutana na maajenti wake ama kuwakabidhi bidhaa au kupokea fedha. Na wakati huo pia  Kamba alikuwa akiwaonya maajenti waliokuwa wakichelewesha malipo..

 

10 years ago

Mwananchi

HADITHI: Sura mbili 22

Katika hadithi iliyopita tulisoma jinsi Salum Zakwa alivyomuua rafiki yake wa ndani ambaye walikuwa wakicheza pamoja mchezo wa kamari katika Hoteli ya Africo. Alishirikiana na vijana wake kina Liston na Vasco. Sasa endelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuwa na Sura Mbili

Pengine unaweza kuwa mpole, mcheshi, mkarimu na anayependa watu wote na pia unaweza kuwa katili asiye na mzaha na asiyeona tabu  kutoa roho ya mtu pale apendapo. Salum Zakwa Mnube, pande la mtu, kizito serikalini na tajiri anayetumia kivuli cha uadilifu serikalini kufanya mambo yake maovu ikiwamo biashara haramu ya dawa za kulevya. ‘Sura mbili’ kama anavyojiita mwenyewe hadithi itakuonyesha namna Salum Zakwa Mnube alivyo na sura hizo mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani