Sura mbili -3
Katika hadithi iliyopita tulisoma jinsi Salum Zakwa alivyomuua rafiki yake wa ndani ambaye walikuwa wakicheza pamoja mchezo wa kamari katika Hoteli ya Africo. Alishirikiana na vijana wake kina Liston na Vasco. Sasa endelea. Vasco Nundu alianza kazi rasmi kumtumikia Salum Zakwa. Yeye na Liston Kihingwe walikuwa wanampeleka bosi wao katika sehemu mbalimbali za jiji kukutana na maajenti wake ama kuwakabidhi bidhaa au kupokea fedha ama vyote viwili, kukabidhi au kupokea. Wakati huo pia...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Mar
Sura mbili (9)
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Sura Mbili
10 years ago
Mwananchi09 Apr
SURA MBILI (15)
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Sura mbili 10
10 years ago
Mwananchi17 Mar
HADITHI: Sura Mbili
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Kuwa na Sura Mbili
10 years ago
Mwananchi27 Apr
HADITHI: Sura mbili 22
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Sura mbili za Askofu Gwajima
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
SURA MBILI ZA WILLIAM LUKUVI: Unafiki na woga wa kisiasa
WILLIAM Lukuvi ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uratibu na Bunge), ametokea kuwa mtu mwenye sura mbili kisiasa! Sura ya kwanza ni unafiki wa kisiasa na sura...