WALINZI WAKOMBA BILIONI 1.8
![](http://api.ning.com:80/files/Sg8I27-Rz4zlRzIoTvc-ukFFSznKfCh*R0kgfn41GZKb1GaVKQAbBHPsDW6M0AQ78tcjlQGC9410r2PtWll8ZqvfBfVqW6Eu/Walinziz.jpg)
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Taarifa toka vyanzo vyetu makini vya habari vinadai kwamba zaidi ya shilingi bilioni 1.8 (1,800,000,000) zimeibwa na baadhi ya walinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi ya G4S kisha kutoweka nazo kusikojulikana, Uwazi limegundua....Soma zaidi===>http://bit.ly/1Llhiz2
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Vibaka wamliza Gerald Hando,wakomba power window,taa,redio kwenye gari yake
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm,Gerald Hando ameibiwa vifaa mbalimbali vya kwenye gari yake aina ya IST yenye namba za usajili T 794 CXC kama power window,redio,taa,redio na vitu vingine usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Walinzi Chadema mbaroni
Na Pendo Fundisha, Mbeya
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Red Brigade), wakidaiwa kuwa na sare za jeshi na silaha zikiwamo za jadi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema vijana hao walikamatwa juzi jioni katika eneo la Sogea wilayani Momba, baada ya kutolewa taarifa na raia...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Burundi wakataa walinzi wa AU
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Polisi wawakamata walinzi wa Chadema
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa vijana wa kikosi cha ulinzi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), red brigade.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema mjini hapa jana kwamba vijana hao ni kati ya waliokuwa wamevaa nguo nyeusi, kofia na viatu vyeusi wakati wa mapokezi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa mjini Mbeya wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa Kamanda Msangi, vijana hao...
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Walinzi 20 wa mpakani wauawa Misri
10 years ago
BBCSwahili23 Nov
Wenger alaumu walinzi wa Arsenal
10 years ago
Habarileo27 May
Kikosi cha walinzi wa Pwani kuanzishwa
SERIKALI iko katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kuanzisha kikosi cha walinzi wa Pwani, ikiwa ni sehemu mojawapo ya kuhakikisha usalama kwa wananchi wake takribani milioni 17, sawa na asilimia 40 ya watanzania wote wanaofanya shughuli zao baharini.
11 years ago
GPLNI KWELI WALINZI WOTE GETINI NI WEHUWEHU?
10 years ago
BBCSwahili15 Nov
Xavi:Messi atawakoroga walinzi EPL