Polisi wawakamata walinzi wa Chadema
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa vijana wa kikosi cha ulinzi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), red brigade.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema mjini hapa jana kwamba vijana hao ni kati ya waliokuwa wamevaa nguo nyeusi, kofia na viatu vyeusi wakati wa mapokezi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa mjini Mbeya wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa Kamanda Msangi, vijana hao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV20 Aug
Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Mdee na wenzake huru, polisi wawakamata tena
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Walinzi Chadema mbaroni
Na Pendo Fundisha, Mbeya
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Red Brigade), wakidaiwa kuwa na sare za jeshi na silaha zikiwamo za jadi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema vijana hao walikamatwa juzi jioni katika eneo la Sogea wilayani Momba, baada ya kutolewa taarifa na raia...
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Polisi kumulika Chadema
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA ELIZABETH MJATTA
JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotajwa na kada wa zamani wa chama hicho, Habibu Mchange, kujihusisha kupanga na kutekeleza njama zenye mwelekeo wa ugaidi.
Limesema tuhuma zilizotolewa na Mchange zimelishtua, hivyo zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa hali ya juu, unaohusisha mwenendo wa uchunguzi wenye tahadhari wa makosa ya...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Polisi yaishangaa Chadema
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limekanusha taarifa za kutekwa kwa msafara wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanachama wake wa Kanda ya Ziwa. Jeshi hilo limesisitiza hakuna tukio hilo na kuwa ni uzushi.
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Polisi waache kuinyanyasa CHADEMA
MOJA ya habari zilizomo kwenye Gazeti hili leo, zinasema kuwa jeshi Polisi wilayani Kyerwa limewatawanya kwa mabomu ya machozi, wananchi waliojitokeza kumlaki Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi*Lp8Odcn1OQx-y1c*-GOpWvr6*mBTyp7SiklQC4uZLJJb05VK9frsUl1*1bXOZztldG6fbWFE3P1SiTlGesDV7/DSC00057.jpg?width=650)
CHADEMA, POLISI BUSARA ITUMIKE
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Chadema sasa wawageukia polisi
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Mgombea Chadema ajisalimisha polisi