CHADEMA, POLISI BUSARA ITUMIKE
![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi*Lp8Odcn1OQx-y1c*-GOpWvr6*mBTyp7SiklQC4uZLJJb05VK9frsUl1*1bXOZztldG6fbWFE3P1SiTlGesDV7/DSC00057.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Na Ojuku Ibrahim MAAZIMIO ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuitisha maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) na baadaye kauli kali ya Jeshi la Polisi ya kukataza kitendo hicho na kutishia kutumia nguvu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Busara itumike kumaliza mzozo wa kodi ya TFF
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Polisi kumulika Chadema
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA ELIZABETH MJATTA
JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotajwa na kada wa zamani wa chama hicho, Habibu Mchange, kujihusisha kupanga na kutekeleza njama zenye mwelekeo wa ugaidi.
Limesema tuhuma zilizotolewa na Mchange zimelishtua, hivyo zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa hali ya juu, unaohusisha mwenendo wa uchunguzi wenye tahadhari wa makosa ya...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Polisi yaishangaa Chadema
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limekanusha taarifa za kutekwa kwa msafara wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanachama wake wa Kanda ya Ziwa. Jeshi hilo limesisitiza hakuna tukio hilo na kuwa ni uzushi.
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Mgombea Chadema ajisalimisha polisi
10 years ago
Vijimambo14 Apr
Chadema, Polisi watunishiana misuli.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Paulo-14April2015.jpg)
Maandamano hayo yameandaliwa kwa ajili ya kushinikiza kutolewa kwa taarifa za matumizi ya Sh. milioni 720 za mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi ya Msamvu.
Wiki iliyopita Chadema kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Wilaya ya Morogoro, James Mkude, kilitangaza kufanya maandamano hayo hadi katika...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Polisi wawakamata walinzi wa Chadema
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa vijana wa kikosi cha ulinzi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), red brigade.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema mjini hapa jana kwamba vijana hao ni kati ya waliokuwa wamevaa nguo nyeusi, kofia na viatu vyeusi wakati wa mapokezi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa mjini Mbeya wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa Kamanda Msangi, vijana hao...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Polisi waache kuinyanyasa CHADEMA
MOJA ya habari zilizomo kwenye Gazeti hili leo, zinasema kuwa jeshi Polisi wilayani Kyerwa limewatawanya kwa mabomu ya machozi, wananchi waliojitokeza kumlaki Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Chadema sasa wawageukia polisi
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Chadema feki wakamatwa na polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikilia vijana 10 waliojifanya wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuandamana katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kwa kile walichodai kwamba ni kupinga hatua ya Dk. Slaa kustaafu siasa kutokana na Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.
Vijana hao waliokuwa wamevaa sare za Chadema walikuwa wamebeba mabango yenye ujumbe tofauti huku wakiimba wimbo wa‘hatumtaki Lowassa’… ‘hatumtaki...