Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema sasa wawageukia polisi

Tukio la Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke, Joseph Yona kutekwa nyara, kupigwa na kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta na watu aliodai kuwa ni wafuasi wa chama hicho, limekichanganya Chadema baada ya jana kudai kuwa tukio hilo limefanywa na Jeshi la Polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu Chadema sasa walalamikiwa

Utaratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wa kutaka mwanachama anayehitaji kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kujigharimia mikutano yote ya kujinadi, umewaweka njia panda baadhi ya waliotangaza nia wilayani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kambi ya Lowassa sasa rasmi Chadema

Sasa ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza kuhamia Chadema, huku mratibu wa wanachama wanaomuunga mkono kada huyo wa CCM kuamua kujiunga na vyama vinavyounda Ukawa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tuiamini Chadema ya sasa na gesi yetu?

KILA nikitafakari yanayotokea katika nchi yetu Tanzania naingiwa na shaka na hofu kubwa kwamba tu

Johnson Mbwambo

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI SASA TISHIO

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HALI ni tete! Matukio ya mauaji ya askari polisi sasa ni tishio. Hilo limebainika kufuatia Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Majambazi Mkoa wa Morogoro, ASP Elibariki Israel Palangyo (53) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye harufu ya ugaidi, Uwazi limechimba.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hv1WxB ...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema Kibaha sasa wambana Katibu Tawala

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kibaha Mjini mkoani Pwani kimetoa siku mbili hadi Desemba 10 kwa Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) Kibaha kuwarejesha wagombea wa nafasi mbalimbali kupitia chama hicho na endapo hatawarejesha watafanya maandamano kushinikiza warudishwe kuwania nafasi hizo.

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema sasa kushambulia kwa kutumia mabaraza yake

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini Makene.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeamua kutumia mabaraza yake kufanya mashambulizi ya kisiasa kujiimarisha miongoni mwa makundi maalum katika jamii.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya chama hicho, chama hicho sasa kitayatumia mabaraza yake ya Vijana (Bavicha), Wanawake (Bawacha) na (Bazecha) kama mkakati wa kulenga makundi mahsusi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema sasa yajipanga kupiga kambi jimbo la Sitta

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la Vijana Taifa (Bavicha), kimetangaza mkakati wa kwenda kuweka kambi kwenye Jimbo la Urambo Mashariki linaloongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.

Lengo la chama hicho ni kuwaeleza namna kiongozi huyo alivyochakachua Rasimu ya maoni ya Watanzania.

Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, Patrobas Katambi na Katibu wa Baraza hilo, Julius...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI INAENDELEA SASA IMEHAMIA CHADEMA RASMI!!


Lowassa: CCM sio baba yangu wala mama yangu…Hotuba yote ya Lowassa iko hapa SIKILIZA YOTE HAPA 

 

10 years ago

Mwananchi

Rita sasa yampeleka polisi ‘Miss Tanzania’

Kashfa ya aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu imechukua sura mpya baada ya Wakala wa Uzazi, Vifo na Ufilisi (Rita) kusema kuwa wamekamilisha upekuzi wa taarifa alizotumia kuombea cheti cha kuzaliwa na vielelezo hivyo vimelekwa polisi vikafanyiwe kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani