Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema Kibaha sasa wambana Katibu Tawala

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kibaha Mjini mkoani Pwani kimetoa siku mbili hadi Desemba 10 kwa Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) Kibaha kuwarejesha wagombea wa nafasi mbalimbali kupitia chama hicho na endapo hatawarejesha watafanya maandamano kushinikiza warudishwe kuwania nafasi hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU NA KATIBU TAWALA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon NzundaNaibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMWAPISHA KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA LINDI

 Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswaakipongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Freddy Maro)

 

5 years ago

Michuzi

OFISI YA KATIBU TAWALA MKOA WA SHINYANGA YAPOKEA KOMPYUTA MPAKATO

Katibu Tawala Msaidizi - Utawala na Rasilimaliwatu, James G. Bwana (Mwenye Shati Jeupe la Kitenge),  akimkabidhi, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Chamatata B.A,   Kompyuta Mpakato ya kisasa na 'Work Station' yake ili iwe mali ya Ofisi (RS Shinyanga), makabidhiano yaliyofanyika jana Machi 18, 2020 ofisini hapo. Kompyuta Mpakato hiyo itatumiwa na Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Ofisi kwa ujumla. Bwana alikabidhiwa Kompyuta hiyo na Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro,...

 

9 years ago

StarTV

 Katibu tawala Kigoma apewa siku 2 kukamilisha uchunguzi  Tuhuma Za Ubadhirifu

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambao unadaiwa kukiuka taratibu.

Waziri Mkuu Majaliwa Ametoa agizo hilo mjini Kigoma wakati akizungumza na viongozi na watendaji mbalimbali wa mkoa huo alipokuwa akifanya majumuisho ya...

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema chama tawala Arusha

SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa chama tawala mkoani Arusha ilihitimishwa rasmi Jumatatu

Paul Sarwatt

 

9 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA AFUNGA MAFUNZO YA WARATIBU WA UCHAGUZI DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni   Ofisa Elimu wa Dar es Salaam akifunga Mafunzo  kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi  wa mkoa wa Mary Assey na  kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani