Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar

IMG_0296

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0311 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0322 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMWAPISHA KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA LINDI

 Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswaakipongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO MJINI DODOMA

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Yahya Khamis Hamad akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma.…

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo.  Rais ni Katibu Bwana Yahya Khamis Hamad akila kiapo kuwa Katibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wa pili kushoto akishuhudia kiapo ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu
 Dkt. Thomas Kashililah akila kiapo kuwa Naibu Katibu wa Bunge Maalum la...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue

2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo

3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro

4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA LINDI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua  Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba  30, mwaka huu, 2015.
          Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi,  Mkoa wa Tanga.Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.2 Novemba,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani