Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA LINDI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua  Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba  30, mwaka huu, 2015.
          Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi,  Mkoa wa Tanga.Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.2 Novemba,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMWAPISHA KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA LINDI

 Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswaakipongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA BALOZI MULAMULA KUWA KATIBU MKUU, WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Balozi Liberata Mulamula. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico. Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA CP DIWANI ATHUMANI KUWA DCI

Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation). Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina

Mafuru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lawrence Nyasebwa Mafuru (pichani)kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014.

Taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Mgaza kuwa Balozi Saudi Arabia

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amemteua Hemed Iddi Mgaza kuwa Balozi wa Tanzania Saudi Arabia. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Kabla ya uteuzi huo, Mgaza alikuwa Ofisa Mambo ya Nje Mkuu, Daraja la Pili na Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).  ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani