RAIS KIKWETE AMTEUA CP DIWANI ATHUMANI KUWA DCI
Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation). Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai
![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Rais Kikwete amteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lawrence Nyasebwa Mafuru (pichani)kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB). Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t5bu_qtVvYQ/VSeURI9A6PI/AAAAAAAHP_w/EiHMG-5_8DM/s72-c/unnamed.jpg)
Rais Kikwete amteua Mgaza kuwa Balozi Saudi Arabia
![](http://3.bp.blogspot.com/-t5bu_qtVvYQ/VSeURI9A6PI/AAAAAAAHP_w/EiHMG-5_8DM/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AMTEUA RISHED BADE KUWA KAMISHNA MKUU WA TRA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CAE1tzhCXtU/VjcswTL-T1I/AAAAAAAID5E/oZ38jCpbtUA/s72-c/New%2BPicture.png)
RAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA LINDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-CAE1tzhCXtU/VjcswTL-T1I/AAAAAAAID5E/oZ38jCpbtUA/s1600/New%2BPicture.png)
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi, Mkoa wa Tanga.Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES SALAAM.2 Novemba,...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.