Rais Kikwete amteua Mgaza kuwa Balozi Saudi Arabia
![](http://3.bp.blogspot.com/-t5bu_qtVvYQ/VSeURI9A6PI/AAAAAAAHP_w/EiHMG-5_8DM/s72-c/unnamed.jpg)
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amemteua Hemed Iddi Mgaza kuwa Balozi wa Tanzania Saudi Arabia. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Kabla ya uteuzi huo, Mgaza alikuwa Ofisa Mambo ya Nje Mkuu, Daraja la Pili na Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Rais amteua Mgaza Balozi Saudi Arabia
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzAkQIH991otX7ib36lP-A-juT7TrEHZANWP9QcARYbquNu61ozIZQSTHUwq*fqx8Q5fcPCxR6DBa57fx6zBcYVH/balozimulamula.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AMTEUA BALOZI MULAMULA KUWA KATIBU MKUU, WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
10 years ago
Habarileo24 Jan
Rais Kikwete atuma rambirambi Saudi Arabia
RAIS Jakaya Kikwete ameitumia Saudi Arabia salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) aliyefariki juzi na kuzikwa jana mjini Riyadh.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-C9FXv9VAxXg/Vb8mM5JK1kI/AAAAAAAHthg/4ocVNqPLgjk/s72-c/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
MAMAKU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-C9FXv9VAxXg/Vb8mM5JK1kI/AAAAAAAHthg/4ocVNqPLgjk/s640/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. (Picha na OMR).
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-58OK4lG9_Zo/VfWP-e-VTMI/AAAAAAAAh-w/ButtTOrIcF4/s72-c/Salman_bin_Abdull_aziz.jpg)
RAIS KIKWETE ATOA POLE WA FALME ZA SAUDI ARABIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-58OK4lG9_Zo/VfWP-e-VTMI/AAAAAAAAh-w/ButtTOrIcF4/s320/Salman_bin_Abdull_aziz.jpg)
PRESS RELEASE H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a sympathy and condolences massage to H.R. H. Salman bin Abdulaziz Al Saud, King of the Kingdom Saudi Arabia on great sadness the death of 107 pilgrims and more than 200 others injured due to collapse of construction crane at the Holy Mosque in Makka, Saudi Arabia on 11th September 2015.The massage reads as follows:“His Royal Highness...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-6HrNDZH7GRs/VMVndx6iYqI/AAAAAAAAbbM/uArX9ylEzQ4/s72-c/jk2.jpg)
Rais Kikwete awasili Saudi Arabia kuhani msiba wa Mfalme
![](http://1.bp.blogspot.com/-6HrNDZH7GRs/VMVndx6iYqI/AAAAAAAAbbM/uArX9ylEzQ4/s640/jk2.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Riyadh, Saudi Arabia,asubuhi ya Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme...