RAIS KIKWETE ATOA POLE WA FALME ZA SAUDI ARABIA

King of Saudi Arabia, H.H. Salmanbin Abdulaziz Al Saud
PRESS RELEASE H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a sympathy and condolences massage to H.R. H. Salman bin Abdulaziz Al Saud, King of the Kingdom Saudi Arabia on great sadness the death of 107 pilgrims and more than 200 others injured due to collapse of construction crane at the Holy Mosque in Makka, Saudi Arabia on 11th September 2015.The massage reads as follows:“His Royal Highness...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Jan
Rais Kikwete atuma rambirambi Saudi Arabia
RAIS Jakaya Kikwete ameitumia Saudi Arabia salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) aliyefariki juzi na kuzikwa jana mjini Riyadh.
10 years ago
Vijimambo
Rais Kikwete awasili Saudi Arabia kuhani msiba wa Mfalme

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Riyadh, Saudi Arabia,asubuhi ya Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme...
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete amteua Mgaza kuwa Balozi Saudi Arabia

10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI


10 years ago
Dewji Blog25 Jan
Rais Kikwete aelekea Saudi Arabia kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amekwenda Saudi Arabia asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.
Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
Mjini Berlin, Ujerumani ambako Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili kesho, Jumatatu, Januari...
11 years ago
Dewji Blog20 Aug
Rais Kikwete atoa pole nyumbani kwa marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Kikwete ahani msiba wa Mfalme Saudi Arabia
RAIS Jakaya Kikwete amehani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa Saudi Arabia, aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Rais amteua Mgaza Balozi Saudi Arabia
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. (Picha na OMR).