OFISI YA KATIBU TAWALA MKOA WA SHINYANGA YAPOKEA KOMPYUTA MPAKATO
![](https://1.bp.blogspot.com/-E2KnJtkumIw/XnSA5Prqj3I/AAAAAAALkgI/QATYNej3ZlMjkLzlTVhEBqvML5eU2806ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-20%2Bat%2B11.23.57.jpeg)
Katibu Tawala Msaidizi - Utawala na Rasilimaliwatu, James G. Bwana (Mwenye Shati Jeupe la Kitenge), akimkabidhi, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Chamatata B.A, Kompyuta Mpakato ya kisasa na 'Work Station' yake ili iwe mali ya Ofisi (RS Shinyanga), makabidhiano yaliyofanyika jana Machi 18, 2020 ofisini hapo. Kompyuta Mpakato hiyo itatumiwa na Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Ofisi kwa ujumla. Bwana alikabidhiwa Kompyuta hiyo na Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMWAPISHA KATIBU TAWALA MPYA WA MKOA WA LINDI
10 years ago
Vijimambo23 May
HOTUBA YA KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA WAKATI WA KUFUNGUA MASHINDANO YA NGAZI YA MKOA YA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA (UMISSETA) NSUMBA SEKONDARI TAREHE 23 MEI, 2015
Nimeupokea mwaliko huu kwa furaha kwa vile umenipa fursa ya pekee kuwaona na kuzungumza na hadhara hii ya wanafunzi, Wanamichezo na Walimu wao. Aidha, nitumie fursa hii kuupongeza uongozi wa Nsumba na Jumuia yote kwa maandalizi mazuri ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CAE1tzhCXtU/VjcswTL-T1I/AAAAAAAID5E/oZ38jCpbtUA/s72-c/New%2BPicture.png)
RAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA LINDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-CAE1tzhCXtU/VjcswTL-T1I/AAAAAAAID5E/oZ38jCpbtUA/s1600/New%2BPicture.png)
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi, Mkoa wa Tanga.Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES SALAAM.2 Novemba,...
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara afunga kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano
Wawasilishaji kutoka kampuni ya PUSH OBSERVER wakiwaeleza maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwamo ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pia utoaji wa taarifa wa jumbe kupitia mitandao ya simu(Bulk messages).
Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoaa taarifa futi ya utekelezaji wa kazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo Mkoani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9WkhAIU9b3w/VZZT4gL1GEI/AAAAAAAAHDE/MirZK2en77w/s72-c/P7039546.jpg)
KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA SIKU SITA YA WALIMU WAKUU NA WARATIBU ELIMU KATA
![](http://3.bp.blogspot.com/-9WkhAIU9b3w/VZZT4gL1GEI/AAAAAAAAHDE/MirZK2en77w/s640/P7039546.jpg)
10 years ago
MichuziKAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO
11 years ago
MichuziNaibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea shule ya Sekondari Lumala,Wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza