SAFARI YA MATUMAINI INAENDELEA SASA IMEHAMIA CHADEMA RASMI!!

Lowassa: CCM sio baba yangu wala mama yangu…Hotuba yote ya Lowassa iko hapa SIKILIZA YOTE HAPA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli
NA FREDY AZZAH, MONDULI
MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.
Kutokana na hali hiyo amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.
Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni katika Jimbo la Monduli.
Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...
10 years ago
Vijimambo
SAFARI YA MATUMAINI YAMFIKISHA LOWASSA CHADEMA

Je, hadhi ya kisiasa ya Lowassa itapanda na kuzidi kufikia ndoto za utumishi wake, ama atakuwa anaanguka kiasi cha kufikia hatua ya kusahaulika kwa jamii?
Kwa namna yoyote, hatua ya Lowassa kujiunga Chadema itachagiza kazi ya mageuzi ya kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Misukule ya teknolojia (safari ya ungo inaendelea)
11 years ago
Michuzi
PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL NA SERENGETI INAENDELEA.


10 years ago
Mwananchi19 Jul
Kambi ya Lowassa sasa rasmi Chadema
10 years ago
Vijimambo
MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA,KATAVI,RUKWA NA MBEYA,SAFARI YAKE BADO INAENDELEA





10 years ago
Vijimambo
VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!



10 years ago
Vijimambo
MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA KUPITIA CHADEMA NDUGU RAJAB MSABAHA KAUZELA AANZA RASMI SAFARI YAKE YA KUWAKOMBOA WANA-KILOSA



10 years ago
Vijimambo