MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA KUPITIA CHADEMA NDUGU RAJAB MSABAHA KAUZELA AANZA RASMI SAFARI YAKE YA KUWAKOMBOA WANA-KILOSA
Rajab Msabaha Kauzela mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa ambaye pia alikuwa Katibu Mwenezi wa Tawi a CHADEMA Washington DCRajab Msabaha Kauzela (wa nne kutoka kushoto) akiwa na mnadhimu wa kambi ya upinzani ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa chadema Morogoro.Rajab Msabaha Kauzela akiwahutubia wakazi wa Kilosa waliokusanyika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara, akielezea mikakati yake endapo wana-Kilosa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA RAJAB MSABAHA KAUZELA AENDELEA NA ZIARA ZA UFUNGUZI WA MATAWI YA CHADEMA JIMBONI KILOSA
10 years ago
VijimamboMTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI
Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.
Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...
10 years ago
VijimamboMTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MWANGA KUPITIA NCCR-MAGEUZI ,YOUNGSEVIER MSUYA ARESHA FOMU
Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa...
9 years ago
CHADEMA BlogMGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI KUPITIA CHADEMA NDUGU LIBERATUS MWANG'OMBE ATOA SHUKRANI
10 years ago
Habarileo19 Jul
CDA kung’olewa mtia nia akichaguliwa ubunge
ALIYEKUWA Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole juzi alirudisha fomu za ubunge kwa ajili ya kutetea kiti chake na kusema iwapo atachaguliwa tena atahakikisha wananchi wote walioporwa ardhi na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) wanarudishiwa ardhi yao.
10 years ago
MichuziWATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziDAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
CHADEMA Kilosa wabaini mchezo mchafu
UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro umeanza kazi kwa kunasa makada wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Magomeni wilayani hapa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
CHADEMA Kilosa wataka serikali kujitathmini
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilosa, kimefunga mwaka huku kikiitaka serikali wilayani humo kujipima na kujitathimini kama imefanikiwa kutawala kwa maendeleo. Akizungumza katika mkutano uliofanyika mjini hapa...