Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misukule ya teknolojia (safari ya ungo inaendelea)

Jamani nyie misukule, ngoja kwanza niwakumbushe maana siku hizi watu hawana kumbukumbu. Ilimradi imehifadhiwa ndani ya simu basi tena.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Misukule ya teknolojia

Juzi niliamua kumpeleka mama watoto auti. Naam, nyama choma kwa wingi na soga kibao. Mama Watoto anajua kuongea jamani. Hata kama simtajitaji sana lakini bila yeye nadhani ningekuwa kipofu badala ya makengeza.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

11 years ago

Michuzi

PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL NA SERENGETI INAENDELEA.

 Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akibonyeza kitufe cha kuchezesha droo ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mapema leo katika ofisi za Kiwanda cha Bia chaa Serengeti jijini Dar es Salaam, huku akishuhudiwa na Afisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha  Tanzania Bakari Maggid(kushoto) na Afisa Mwandamizi kutoka PWC Golder Kamuzora(kulia).  Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza na wana habari wakati wa droo ya saba ya promosheni ya Winda Safari ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI INAENDELEA SASA IMEHAMIA CHADEMA RASMI!!


Lowassa: CCM sio baba yangu wala mama yangu…Hotuba yote ya Lowassa iko hapa SIKILIZA YOTE HAPA 

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA,KATAVI,RUKWA NA MBEYA,SAFARI YAKE BADO INAENDELEA


Ndugu Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wazamini MKoa wa Katavi kutoka kwa Katibu Wilaya wa CCM(Mpanda Mjini.)Mwigulu Nchemba akitoa neon la Shukrani kwa WanaCCM waliomdhamini Mkoa wa Katavi.Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya WanaCCM walioamua kumdhamini kwenye Kufanikisha adhima yake ya Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hapa ni Sumbawanga Mjini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya Wanaccm waliomdhamini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akiagana na Wadhamini...

 

10 years ago

GPL

UNGO WA MCHAWI WAZUA KIZAAZAA!

Dustan Shekidele, Morogoro
NI mshangao! Katika hali isiyotarajiwa, ungo wenye vifaa vya kichawi umekutwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro na kuzua kizaazaa kikubwa. Ungo wenye vifaa vya kichawi ukiwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro. Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 12  asubuhi, Jumatano...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO ATESWA NA MISUKULE

stori: waandishi Wetu MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ (pichani) naye ameibuka na kucharukia suala hilohilo. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ akifafanua jambo. Akizungumza na Uwazi...

 

11 years ago

GPL

MCHAWI WA UNGO ADONDOKA, AGEUKA KUKU

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji  la  Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo, Uwazi limeona mengi. Mamia ya wananchi katika eneo la Kimandolu kando ya Barabara ya Arusha- Moshi walimiminika kushuhudia tukio hilo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab inaendelea kuwasajili Wakenya

Al Shabaab inaendelea kuwasajili wapiganaji katika miji mikuu nchini Kenya kulingana na ushahidi uliobanika na BBC

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani