Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAWI WA UNGO ADONDOKA, AGEUKA KUKU

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji  la  Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo, Uwazi limeona mengi. Mamia ya wananchi katika eneo la Kimandolu kando ya Barabara ya Arusha- Moshi walimiminika kushuhudia tukio hilo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNGO WA MCHAWI WAZUA KIZAAZAA!

Dustan Shekidele, Morogoro
NI mshangao! Katika hali isiyotarajiwa, ungo wenye vifaa vya kichawi umekutwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro na kuzua kizaazaa kikubwa. Ungo wenye vifaa vya kichawi ukiwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro. Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 12  asubuhi, Jumatano...

 

11 years ago

Mwananchi

Misukule ya teknolojia (safari ya ungo inaendelea)

Jamani nyie misukule, ngoja kwanza niwakumbushe maana siku hizi watu hawana kumbukumbu. Ilimradi imehifadhiwa ndani ya simu basi tena.

 

10 years ago

GPL

RAIS MUGABE ADONDOKA UWANJA WA NDEGE

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, akidondoka kwenye uwanja wa ndege Harare. RAIS wa Zimbabwe, Robert Mugabe jana, Februari 4, mwaka huu alidondoka akiwa uwanja wa ndege muda mfupi akitokea nchini Ethiopia. Rais Mugabe alikuwa akiwahutubia wafuasi wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare ila wakati akishuka jukwaani aliteleza na…

 

11 years ago

GPL

JB ADONDOKA AKIMUELEZEA MAREHEMU KUAMBIANA LEADERS

JB akiwa na simanzi nzito wakati akimuelezea Kuambiana. JB akianguka chini baada ya kushindwa kuvumilia. Msanii Jacob Steven ‘JB’ amedondoka katika Viwanja vya Leaders wakati akimuelezea msanii mwenzake marehemu Adam Kuambiana. Tukio hilo limetokea wakati wa zoezi la kuaga mwili wa marehemu kabla ya…

 

11 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-ZANZIBAR ADONDOKA, AKIMBIZWA AMANA

Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis. MAKAMU Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis, leo amedondoka kutokana na matatizo ya moyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Baada ya kufikishwa hospitalini hapo, Mhe. Ambar alipimwa na kukutwa presha yake ipo juu ambapo alipelekwa katika chumba namba 7 kwa mapumziko. Baadaye alipelekwa katika kipimo cha moyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Zitto ageuka

zitto00Evans Magege na Jonas Mushi

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, jana hakutoka bungeni wakati wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipoamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kukataa kuacha kuzomea na kupiga kelele kwa minajili ya kumzuia Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 11.

Awali Zitto alionekana kuungana na Ukawa kabla Rais Magufuli hajaingia ndani ya Bunge.

Tukio ambalo lilionekana kuwaunganisha Zitto na Ukawa ni lile...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA CIARA AGEUKA KIVUTIO

Msanii wa R&B, Ciara. California, Marekani
MSANII wa R&B, Ciara Princess Harris hivi karibuni mtoto wake, Future Zahir aligeuka kivutio kwenye tamasha la utoaji tuzo za michezo ambazo huandaliwa na watoto ziitwazo, Kid’s Sports Choice Awards. Ciara akiwa na mwanaye.
Katika tuzo hizo ambazo huandaliwa na Kituo cha TV cha Nickelodeon, Ciara alikuwa ameongozana na Future Zahir pamoja na mchumba wake, Rusell Wilson...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani